Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma.
Mnatakiwa kutambua kuwa ili muwe na nguvu ya kisiasa lazima muwe na backup ya wananchi.
Habari za kutegemea uzushi wa mitandao ya kijamii hasa twita hazina mashiko na zitawatokea puani.
Ingieni mitaani kwenye uhalisia wa mambo ili mpate ukweli. Acheni kupenda kujenga chuki kwenye jamii.Mtaangukia pua.