CHADEMA acheni kushupaza shingo mtaumia, tambueni hamna backup ya wananchi

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma.

Mnatakiwa kutambua kuwa ili muwe na nguvu ya kisiasa lazima muwe na backup ya wananchi.

Habari za kutegemea uzushi wa mitandao ya kijamii hasa twita hazina mashiko na zitawatokea puani.

Ingieni mitaani kwenye uhalisia wa mambo ili mpate ukweli. Acheni kupenda kujenga chuki kwenye jamii.Mtaangukia pua.
 
No room for chadema anymore katika mioyo ya watz walio wengi ndiyo maana walio muua magu wanajiachia tu na vitambi vimewatoka siku hizi ,kwa sasa tz hakuna chama cha upinzani, iliyobaki ni MAGUFULI LEGACY NA MAFISADI LEGACY TU
kama chama kipya kikianzishwa kwa kikiwa na legacy ya Magufuli ccm itakuwa ndiyo mwisho wake
 
Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma...
CHADEMA kufa si furaha kwako au? acha ife CHADEMA ubaki na TLP yenye nguvu
 
Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma....
Cdm iliifirisi awamu ya tano zaidi ya tril 2.4 na bado iko imara kulikou 2015

Eti project ya kuia cdm kapewa siro, mutungi, na Jaji luvanda, mbona wameishashindwa hata kabla hawajaanza
 
No room for chadema anymore katika mioyo ya watz walio wengi ndiyo maana walio muua magu wanajiachia tu na vitambi vimewatoka siku hizi ,kwa sasa tz hakuna chama cha upinzani ,iliyobaki ni MAGUFULI LEGACY NA MAFISADI LEGACY TU
kama chama kipya kikianzishwa kwa kikiwa na legacy ya magufuli ccm itakuwa ndiyo mwisho wake

..Na aliyeua vyama vya siasa si Magufuli akitumia vyombo vya dola?

..Legacy ya Magufuli ni pamoja na kuvuruga demokrasia ya vyama vingi nchini.
 
Sasa Magufuli si kafa? Kwanini basi hamfufuki kama aliua upinzani?

..itategemea kama legacy yake ya chuki dhidi ya demokrasia ya vyama vingi itaendelezwa kwa kutumia dola na mahakama.

..vyama vijadiliane kwa hoja, badala ya CCM kutumia dola kuwakabili wale wenye mawazo mbadala.
 
Mkiwa mahakamani mnajifanya mna kiburi kilichojaa ubabe. Mnazua hoja ambazo hazina mashiko. Mbaya zaidi mnatumi uvumi wa kwenye mitandao kueneza chuki kwa watumishi wa umma.

Mnatakiwa kutambua kuwa ili muwe na nguvu ya kisiasa lazima muwe na backup ya wananchi.

Habari za kutegemea uzushi wa mita ndao ya kijamii hasa twita hazina mashiko na zitawatokea puani.

Ingieni mitaani kwenye uhalisia wa mambo ili mpate ukweli. Acheni kupenda kujenga chuki kwenye jamii.Mtaangukia pua.
Watumishi wale wanaoibeba,ile chama chorokocho.kwa weledi unaofanana na wako.Utulie tasafali.waache wenye akili wakupambanie hata wewe usiyejielewa.
 
Kama mnadhani CHADEMA hawana backup ya wananchi nawashauri mfanye yafuatayo.

1. Mfungeni mbowe.
2.Kifuteni chadema.

Ni hayo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom