Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,315
- 45,627
CHEDEMA mnafahamu vizuri kwamba Wabunge 19 wa Viti Maalum ambao mmewafutia uanachama hawataondolewa bungeni kwa malalamiko yenu. Kuendelea na harakati dhidi yao ni kuzidi kukipaka matope chama chenu na kupoteza nguvu zenu.
Kwa sababu Katibu mkuu wenu Mnyika alisema wabunge hao hawakuridhiwa na chama kuingia Bungeni bali ni hujuma ilifanyika basi naamini mnafahamu hao waliofanikisha hilo ni watu weny nguvu haswa na wao pekee ndo watakaoamua lini ubunge wa hao wabunge utakoma.
Ni vyema zaidi mkawapuuza kuliko kuendelea kuvurugana katika tope hilo ambapo mwisho wa siku wote mtatoka wachafu na mtakidhoofisha chama chenu