technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Unamsema vipi mtu ambaye hawezi kujitetea Kama Hayati Magufuli, Mkapa au Nyerere? Mimi binafsi Hawa watu siwadai Kama Mungu kashafanya hukumu yake waachwe wapumzike!!
Natoa angalizo tu kwa chadema kuelekea uchaguzi 2025 hasa Tundu Lissu na Mbowe wajitaidi kuepuka Mambo yafuatayo.
1: Acheni kumsema vibaya Hayati Magufuli maana mtu akishakufa hata umseme vipi wewe ndio utaonekana tatizo kwa watu waliokuwa wakimuamini
2: Achaneni na siasa za covid19 maana 90% ya watanzania wameikataa na nyie mnajua kabisa watanzania wengi asilimia kubwa hawana elimu ya kutosha hasa vijijini.
3: Tambueni kuwa adui yetu ni ccm Wala sio Polisi, Jeshi, Mahakama na Usalama wa Taifa Wala wananchi wa Nchi hii hivyo mkifanya siasa zenu pambaneni na ccm Polisi wakisumbua nendeni mahakamani kwa kushitaki Polisi aliyesumbua sio taasisi ya Polisi.
4: Tumeni timu ya wanasheria na wanachama wenye ushawishi majimboni na vijijini kutoa elimu ya uraia Kuna jinsi ya kupambana na uminyaji wa haki, Pia epukeni kuendesha chama kwa kutumia mitandao ya kijamii pekee nendeni field watu walipo.
5: Teteeni Watanzania wote wanapoonewa kemeeni uonevu sio tu wa wanachama Bali kwa watanzania wote mfano Mambo ya uvunjifu wa haki za binadamu, Ajari za barabarani wakemeeni watoa rushwa na wapokea rushwa maofisini na matrafiki wanachukua pesa na kusababisha Ajari zinazoweza kukwepeka.
6: Option ya kuingia barabarani kulinda uchaguzi 2025 iwe ndio namba moja iwapo katiba na tume huru haitapatikana kabla ya 2025.
7: Andaeni wenyeviti kila mtaa na Kijiji kuelekea uchaguzi 2024 wawe watiifu wasionunulika watu wote wanajua mnaonewa ila mkiwa karibu zaidi na watu watakuwa tayari kuwatetea.
Achani kumtukana Hayati Magufuli maana Kuna watu wengi nyuma yake wanaomwamini pia ikitokea mwanachama wa chadema kamsema vibaya toeni official statement ya kukanusha na ikiwezekana kumfukuza ndani ya chama.
Ni ushauri tu Magufuli alikuwa na mabaya yake lakini sio sahihi kumsema vibaya waacheni wakina Membe Msigwa na Ccm wengine ndio wamkashifu Hayati Magufuli.
Ni ushauri tu natoa Tundu Lissu, Mnyika, Mbowe mnaweza kuufanyia Kazi lasivyo ccm italitesa Sana hili taifa mpaka kiama!!