Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,457
- 1,409
Kitendo cha chama kimoja kuingilia utendaji na migogoro wa chama kingine ni jambo la kupigwa vikali na wapenda demokrasia.Kwani kila chama kina haki ya kujiendesha na kutatua migogoro yake bila kuingiliwa.Kwa maana hiyo chadema inatakiwa ikae mbali na mgogoro wa cuf kwani hauwahusu.Wana cuf wenyewe wanapaswa kutatua mgogoro wao na kama walikinunua cuf kutoka kwa maalim seif imekula kwao wana cuf wameshashituka