CHADEMA acheni kuhoji kuhusu Prof. Lipumba

DITOPILE WAPILI

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
376
256
Chama cha CHADEMA kimekuwa wazungumzaji wakuu katika kuhoji kuondoka na kuwepo kwa Prof. Lipumba kwenye chama CUF, hii inaonesha dalili zote za kupoteza dira na malengo kwa chama cha CHADEMA.

CHADEMA bora wangeanza kuhoji kwanini KATIBU MKUU wao, DR. SLAA aliondoka kwenye chama chao kuliko kuanza kuwa wasemaji wa chama cha CUF.

CHADEMA lazima watambue kwanza, CUF ni chama kikubwa cha kisiasa kina uongozi na taratibu zake.
 
na wewe unawakanya chadema kama nani? na kuisemea cuf kama nani?
 
Chama cha CHADEMA kimekuwa wazungumzaji wakuu katika kuhoji kuondoka na kuwepo kwa Prof. Lipumba kwenye chama CUF, hii inaonesha dalili zote za kupoteza dira na malengo kwa chama cha CHADEMA.

CHADEMA bora wangeanza kuhoji kwanini KATIBU MKUU wao, DR. SLAA aliondoka kwenye chama chao kuliko kuanza kuwa wasemaji wa chama cha CUF.

CHADEMA lazima watambue kwanza, CUF ni chama kikubwa cha kisiasa kina uongozi na taratibu zake.

Nawashangaa sana hawa CHADEMA, wanajua kabisa kuwa kazi ya kumtetea na kumlinda Lipumba ni ya wanaCCM, lakini wao kila siku wanasumbuka kuhoji kuondoka au kuwepo kwa lipumba CUF. hivi CHADEMA hamna kazi nyingine, hiyo ya lipumba wachieni UVCCM
 
Pia
Slaa ccm ilimponza sasa ni mkimbizi kakimbia nchi yake.

swissme
Aliye -change GIA angani ndiyo alisababisha DR. Slaa kuondoka.
 
Tusipende kutafuta umaharufu ambao hauna tija CHADEMA wapo sawa kuhoji uhalali wa bwana yule kuwa mwenye haki na wana kutaka kujua kwa nn prof aliwakimbia wakati wa uchanguz na sada anataka nn? Ifahamike kuwa CUF ni mwanachama UKAWA kwala sababu hiyo Chadema bado wanaweza kuhoji

Kimsingi ni kwamba kama CUF ni moja ya dau wa UKAWA nilizma wadau ambao wapo kwenye UKAWA nilazma wahoji sio chadema tu hata NLD,NCCR MAGEUZ
 
Ukitaka kutafuta nyoka anzia mguuni mwako, ilitakiwa CHADEMA kuanza kuhoji kuhusu KATIBU WAO MKUU DR. SLAA kwanini alikimbia wakati wa uchanguzi? halafu ndiyo waende kwa jirani.
 
Chama cha CHADEMA kimekuwa wazungumzaji wakuu katika kuhoji kuondoka na kuwepo kwa Prof. Lipumba kwenye chama CUF, hii inaonesha dalili zote za kupoteza dira na malengo kwa chama cha CHADEMA.

CHADEMA bora wangeanza kuhoji kwanini KATIBU MKUU wao, DR. SLAA aliondoka kwenye chama chao kuliko kuanza kuwa wasemaji wa chama cha CUF.

CHADEMA lazima watambue kwanza, CUF ni chama kikubwa cha kisiasa kina uongozi na taratibu zake.
Slaa hana ishu tena shida IPO kwa pro pesa ..
 
Back
Top Bottom