DITOPILE WAPILI
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 376
- 256
Chama cha CHADEMA kimekuwa wazungumzaji wakuu katika kuhoji kuondoka na kuwepo kwa Prof. Lipumba kwenye chama CUF, hii inaonesha dalili zote za kupoteza dira na malengo kwa chama cha CHADEMA.
CHADEMA bora wangeanza kuhoji kwanini KATIBU MKUU wao, DR. SLAA aliondoka kwenye chama chao kuliko kuanza kuwa wasemaji wa chama cha CUF.
CHADEMA lazima watambue kwanza, CUF ni chama kikubwa cha kisiasa kina uongozi na taratibu zake.