St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,166
Hakika hakuna chama kila miaka kinataka kiwe kinaitwa chama pinzani, lakini lengo kuu ni kushika madaraka na kuongoza serikali. ccm kila wakati wa kampeni hunadi maji na umeme kila kijiji lakini hizi nia ahadi hewa hazijatekelezwa kwa miaka yote hii. Ushauri wangu kwa chadema kwanini wasijenge matangi ya maji safi kila kijiji ili ikifika wakati wa kampeni ikaonesha ilichofanya. Na ikaaminiwa ikiwa madarakani ni kweli itatekeleza ahadi zake kuliko ccm.