Chadema 2015 nafasi ya ushindi ni ndogo

KIBE

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
943
184
Kama kipindi hk tu viongozi wote wa cdm wamezunguka kwenye kata na matokeo ndo haya. Je 2015 uwezo wa kuzunguka kata zote utakuwepo mana itakuwa busy na urais na ubunge kwa uchache. Chadema tujipange
 
Wewe jipe matumaini, wambie tume warekebishe daftari la kupigi kura uone cha moto. Salama ya CCM ni daftari la zamani na wizi wa kura na tume ambayo si huru.
 
Yes ni kweli kuwa Mwigulu, Wassira na Nape kule Arusha ni kwao na Godbles Lema na Nasari ni watu wa Singida walienda Arusha kuisaidia CHADEMA na wameacha majimbo yao Singida. CCM oyeee
 
Kama kipindi hk tu viongozi wote wa cdm wamezunguka kwenye kata na matokeo ndo haya. Je 2015 uwezo wa kuzunguka kata zote utakuwepo mana itakuwa busy na urais na ubunge kwa uchache. Chadema tujipange

Wewe siyo Chadema. Acha kujifaragua.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wewe jipe matumaini, wambie tume warekebishe daftari la kupigi kura uone cha moto. Salama ya CCM ni daftari la zamani na wizi wa kura na tume ambayo si huru.

Hahahahahaa,mbaazi ikikosa Maua utsikia oooooh jua mbaya,,,aaaaah chadomo hamkosi visingizio,2015 mtasema kwa kuwa daftari la wapiga kura halikufika mjini hahahahahaah
 
Kama kipindi hk tu viongozi wote wa cdm wamezunguka kwenye kata na matokeo ndo haya. Je 2015 uwezo wa kuzunguka kata zote utakuwepo mana itakuwa busy na urais na ubunge kwa uchache. Chadema tujipange

ccm ndo watakosa mda huo wa kugawa sukari na kanga we gamba,jishtukieni kwanza
 
.Hajishitukii mtu wala nini, hata mtuseme hatutoki ccm mkitutukana ndiyo kabisa hatuhami. Labda muwe wapole, CCM juu, juu. CCM oyee. Chadomo mnatamani mnimeze. Ngoja nikabebe buku saba zangu.
 
Chadomo hao magamba wenzio ww jiangalie bana,, mmejaa magamba mpaka kwenye ndimi ndo maana hamna la maana la kuongea!
 
Kama kipindi hk tu viongozi wote wa cdm wamezunguka kwenye kata na matokeo ndo haya. Je 2015 uwezo wa kuzunguka kata zote utakuwepo mana itakuwa busy na urais na ubunge kwa uchache. Chadema tujipange
Nenda kajipange wewe na CHAUMA!!!.. Mguu mmoja umeweka NCCR, mwengine CCM na CHAUMA unaijenga. Uwe na msimamo!
 
.Hajishitukii mtu wala nini, hata mtuseme hatutoki ccm mkitutukana ndiyo kabisa hatuhami. Labda muwe wapole, CCM juu, juu. CCM oyee. Chadomo mnatamani mnimeze. Ngoja nikabebe buku saba zangu.

Savimbi ataoa wengi mwaka huu!
 
Hahahahahaa,mbaazi ikikosa Maua utsikia oooooh jua mbaya,,,aaaaah chadomo hamkosi visingizio,2015 mtasema kwa kuwa daftari la wapiga kura halikufika mjini hahahahahaah

.Hajishitukii mtu wala nini, hata mtuseme hatutoki ccm mkitutukana ndiyo kabisa hatuhami. Labda muwe wapole, CCM juu, juu. CCM oyee. Chadomo mnatamani mnimeze. Ngoja nikabebe buku saba zangu.

....Unajistukia eeeh!..........

.....Mtu mmoja ID kibao!...

Masisiemu Bana kero tupu!....

Back
Top Bottom