Kama kipindi hk tu viongozi wote wa cdm wamezunguka kwenye kata na matokeo ndo haya. Je 2015 uwezo wa kuzunguka kata zote utakuwepo mana itakuwa busy na urais na ubunge kwa uchache. Chadema tujipange
Wewe jipe matumaini, wambie tume warekebishe daftari la kupigi kura uone cha moto. Salama ya CCM ni daftari la zamani na wizi wa kura na tume ambayo si huru.
Kama kipindi hk tu viongozi wote wa cdm wamezunguka kwenye kata na matokeo ndo haya. Je 2015 uwezo wa kuzunguka kata zote utakuwepo mana itakuwa busy na urais na ubunge kwa uchache. Chadema tujipange
Nafasi ya ushindi kwa chadema 2015 (if at all uchaguzi utakuwepo) HAIPO.
.Hajishitukii mtu wala nini, hata mtuseme hatutoki ccm mkitutukana ndiyo kabisa hatuhami. Labda muwe wapole, CCM juu, juu. CCM oyee. Chadomo mnatamani mnimeze. Ngoja nikabebe buku saba zangu.
Nenda kajipange wewe na CHAUMA!!!.. Mguu mmoja umeweka NCCR, mwengine CCM na CHAUMA unaijenga. Uwe na msimamo!Kama kipindi hk tu viongozi wote wa cdm wamezunguka kwenye kata na matokeo ndo haya. Je 2015 uwezo wa kuzunguka kata zote utakuwepo mana itakuwa busy na urais na ubunge kwa uchache. Chadema tujipange
Nafasi ya ushindi kwa chadema 2015 (if at all uchaguzi utakuwepo) HAIPO.
.Hajishitukii mtu wala nini, hata mtuseme hatutoki ccm mkitutukana ndiyo kabisa hatuhami. Labda muwe wapole, CCM juu, juu. CCM oyee. Chadomo mnatamani mnimeze. Ngoja nikabebe buku saba zangu.
Hahahahahaa,mbaazi ikikosa Maua utsikia oooooh jua mbaya,,,aaaaah chadomo hamkosi visingizio,2015 mtasema kwa kuwa daftari la wapiga kura halikufika mjini hahahahahaah