Chachu kidogo uchachua donge zima!

Lipijema

JF-Expert Member
Mar 8, 2015
809
1,193
Ndani ya mwezi mzima iwe mijini na huku vijijini pia tulikuwa tumevutiwa na kasi ya mh: Rais wetu pamoja na Waziri na Makamu wetu, lakini mhhh! mgema akisifiwa sana....ulitia maji! aidha ngoma ikivuma sana basi aidha upasuka. Hivyo ndani ya Chama hiki hakuna mbadala ya kina Muhongo, Nape na kina J.Makamba? au imekupasa ulipe fadhira?
 
Back
Top Bottom