Chacha Machange: Je ni yule kijana aliyekuwa akiishi kwenye handaki jirani na Mlimani city?

IGUDUNG'WA

JF-Expert Member
Oct 22, 2011
2,071
1,314
Habari bandugu,

Katika ziara ya kustukiza ya Mh. Rais katika hosp. ya Muhimbili nimeshangazwa kidogo baada ya kumuona Rais akiongea na mgonjwa mmoja alietambulishwa kwa jina la Chacha Machange ambae anasumbuliwa na maradhi ya mgongo. (Mh. Rais ameahidi kugharamia matibabu yake)

Nilipomuona kijana huyu nimemfananisha kabisa na yule kijana aliyekuwa akiishi kwenye handaki pale jirani na mlimani city. naombeni kujuzwa kama kweli ni yeye maana kipindi kile alihojiwa na Emanuel Buhohela akiwa ndani ya handaki lake, Au kama Buhohela yumo humu basi atusaidie kutujuza.

Swali jingine je? huenda hayo maumivu yake ya mgongo yamesababishwa na ukosefu wa hewa safi kwenye handaki alimokuwa akiishi? (kama atakuwa ni yeye lakini)

Asanteni
 
ukiishi sehem isiyokuwa na hewa lazima uumwe mgongo aisee.jamaa nd yamemkuta hayo
 
Why? Alipohojiwa nini kilifuata huko kwenye handak?
kaka Sired ya huyu mshikaji ipo humu... yeye alipomaliza chuo alikuwa na kiwanja eneo la kitunda alijenga nyumba simple akawa anaishi bro wake akamchenjia akaleta watu usiku wakabomoa geto wakachoma kila kitu na yeye wakampa kisago. jamaa akakata tamaa akaamua kwenda eneo la chuo cha mlimani (UDSM) jirani na mlimani city kwenye pori akachimba handaki akawa anaishi pale. mchana akiamka anachomekea fresh anatimba kitaaa na cv zake mkononi
 
ukiishi sehem isiyokuwa na hewa lazima uumwe mgongo aisee.jamaa nd yamemkuta hayo
lakini pia kipindi kile anahojiwa na buhohela akiwa kwenye handaki alidai bro wake aliwahi kumshushia kipigo heavy kipindi anafatilia kiwanja chake huko kitunda
 
ok ila huyo kimechangia zaid na ukosef wa hewa ya kutosha.kunakosababisha uti wa mgongo kuto function vzr
 
Msiongee kwa hisia, kuishi kwenywe handaki Na kukosa hewa ikaathiri sijui uti WA mgongo wapi Na wapi??? Ukweli Ni kuwa jamaa alipata ajari iliopelekea kuvunjika uti WA mgongo!
 
Huyo janke si maelezo yake yamemtoa machozi mheshimiwa hadi kaamua kuvunja hiyo bodi ya hospitali. Huyo jamaa kwanini anaishi kwenye handaiki?
 
Huyu jamaa ana zali gani kila saa yupo kwenye media? October mesia zilimuandika alikuwa anaomba gari impeleke kupiga kura
 
Inafaa jamaa achungwe sana maana anaweza kujichoma moto kama yule graduate wa Tunisia kwa kukosa ajira!
 
Back
Top Bottom