Cha Tarime hiki

Unajua kinyume cha MAKUBAZI?
tapatalk_1562856414738.jpeg
 
Sio uharo ni ile kisamvu mzee baba
Kunywa UHARO WA MBUZI ni Mila ya WAKURYA WOTE.

Mnachanganya UHARO WA MBUZI NA DAMU YAKE. mnaita KICHURI.

Hii sikuambiwa na mtu bali NIMEONA KWA MACHO YANGU.

mimi kila mara nachinjia majirani zangu hapa na Siku moja nikaombwa na MKURYA nimchinjie Mbuzi wake.

Wakati nachinja Akaja na Bakuli akakinga Damu inayotoka Shingoni Akakoroga na Mti halafu nilipopasua Tumbo kutoa Utumbo Akapasua MFUKO WA MAVI akachota akachanganya na Ile DAMU AKANYWA PALE PALE km Lita NZIMA YA MAVI na iliobaki akapeleka ndani.

Pumbafu kabisa. Nikamwambia Kuanzia leo Ukae mbali na Mimi.
Mtu mzima UNAKUNYWA UHARO WA MBUZI? akanambia Hii ni JADI YA WAKURYA WOTE. eti inawapa Ushujaa.
Ushujaa wa KUPIGA WAKE ZENU MAPANGA? huo ndio USHUJAA?

Nyie watu wehu.
Mnatakiwa kwenda kumuona Daktari wa akili haraka sana. Kabla hamja maliza kuua WAKE ZENU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom