Cha mzaramo kwa paja....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
IMG_20171027_060617.png
 
kwa msosi huu utakuwa kidume cha mbegu kweli ndani ya nyumba????
 
Hilo paja mbona kama la njiwa. Hamna sima? Hii ni njaa tupu tu.
Mkuu usiangalie kushiba sana angalia nutrients zinazopatikana. Hivi unajua mwili huchukua only required nutrients na ndo mana vyakula ambayo vinakua unabsorbed vinakua disposed off kama wastes. Simple elementary biology mkuu
Mie sishibi kabisa hapo
 
Mkuu usiangalie kushiba sana angalia nutrients zinazopatikana. Hivi unajua mwili huchukua only required nutrients na ndo mana vyakula ambayo vinakua unabsorbed vinakua disposed off kama wastes. Simple elementary biology mkuu
Sasa sisi watu wa kubomoa kwa mpigo tutapata wapi wakati wa kula kula tuportion tudogo tudogo hivo kila baada ya dakika kumi na tano kama chiriku?
 
Hapo ni tonge 3 tu tena kwa aibu za ukweni.. halaf hicho kikiuu sijui ni cha kizungu..

Wallah mie sishibi
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom