Cha msingi watanzania tuwe makini kwenye maoni ya katiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cha msingi watanzania tuwe makini kwenye maoni ya katiba

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by MKIMBA, Jul 18, 2012.

 1. M

  MKIMBA New Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MFANO.mtumishi wa umma kuwa na vyeo zaidi ya kimoja kulipwa na hazina wakati wengine wanataabika mjini tulikemee kwa nguvu zetu zote haya ndio mapungufu makubwa kwenye katiba iliyopo.
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wajameni tuliongee hili kwenye mchakato wa katiba!
  Mathalani mbunge-asiwe mkuu wa mkoa au wilaya
  spika wa bunge asiwe na chama
  etc
   
Loading...