Certificate (nta 1&2)ya auto electrica(veta) au diploma ya ict (nta 4,5 & 6) nit

johnny jr

Member
Oct 22, 2015
5
5
Habari za ndugu zangu
Nimatumaini ya ni wazima,mimi ni muhitimu wa form iv 2014 (nifaulu kwa daraja la tatu) kwa alama ya phy C,chemistry E,math C,bio C,geo C,English B a mengine D yote...
Sasa mwaka huu nataka niende chuo nika apply nit first choice ordinary diploma auto electrical and electronic engineering,sasa majibu yamekuja nimechaguliwa lakin wananambia inabidi nibadilishe kozi nisome ict ,, naombeni mnishauri mimi naona bora nikasome veta nta1&2 ya auto electrical kuliko nta 4,5&6 ya ict .., nakaribisha ushauri Na pia natanguliza shukrani zangu kwenu..
 
NI KWA SABABU GANI NIT WAMEKWAMBIA UBADILISHE KOZI??

TUANZIE HAPO KWANZA MKUU.
 
NI KWA SABABU GANI NIT WAMEKWAMBIA UBADILISHE KOZI??

TUANZIE HAPO KWANZA MKUU.
Sababu ya E ya chemistry..wanataka phy ,chemistry na math angalau D (ili kusoma kozi za engineering).. sasa mimi nina physics C ,math C lakini chemistry ndo E ... Hilo ndo tatizo Kiongoz,na waliokataa ni nacte sio nit,nit walikuwa wamenichagua mechanical engineering lakini nacte ndo wakagoma kuthibitisha hilo..
 
emoji3516.png

NI KWA SABABU GANI NIT WAMEKWAMBIA UBADILISHE KOZI??

TUANZIE HAPO KWANZA MKUU.
Sababu ya E ya chemistry..wanataka phy ,chemistry na math angalau D (ili kusoma kozi za engineering).. sasa mimi nina physics C ,math C lakini chemistry ndo E ... Hilo ndo tatizo Kiongoz,na waliokataa ni nacte sio nit,nit walikuwa wamenichagua mechanical engineering lakini nacte ndo wakagoma kuthibitisha hilo.
bora uende veta kaka....ict haina kitu siku hizi...
Shukrani kaka kwa ushauri
 
Back
Top Bottom