Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo CEO hana jina!!?CEO wa Safari Com Kenya,amekutwa amefariki leo hii asubuhi tarehe 1.7.2019 Nyumbani kwake Jijini Nairobi
Huyo hapoAnaitwa nani na amekutwa katika mazingira gani?
COLLYMORE WA SAFARICOM KENYA AFARIKI DUNIA (from Mwananchi Online)Anaitwa nani na amekutwa katika mazingira gani?
COLLYMORE WA SAFARICOM KENYA AFARIKI DUNIA (from Mwananchi Online)Huyo CEO hana jina!!?
Ila hongera umekuwa wa kwanza kututaarifu!
Sio mkenyaWakenya kwa kuuana! Halafu unakuta sababu za mauaji ni za kipuuzi kabisa. Nadhani sisi tuna unafuu kiasi ingawa tumo pia.
Kala banNamba moja hapa wapi Nyete?
Huyu afya yake ilikua mgogoro alikua na cancer na imemtesa kwa muda Mrefu sana.Wakenya kwa kuuana! Halafu unakuta sababu za mauaji ni za kipuuzi kabisa. Nadhani sisi tuna unafuu kiasi ingawa tumo pia.