CEO wa Bodi ya Ligi Almasi Kasongo acha Kutumika na Yanga SC yako na GSM 'Kuionea' Simba SC yasije kukuta makubwa na usiamini

Hana ushawishi huyo jamaa na kwenye hili atafeli vibaya mno. Simba haiishi kwa ruzuku za tff. Na ajue kuwa soka la bongo ni siasa na asisahau kuwa simba ilikuwepo kabla hata yeye hajazaliwa hivyo nikubwa mno asijusumbue hata kuitikisa maana hataweza.
 
Acha propaganda za kijinga wewe.Kama kufungwa utafungwa kwa ubovu wa kikosi chako usipende kuzungumzia mambo binafsi ya mtu kwa kuhusisha na masuala ya mpira.

Kama kufungwa utafungwa kwa kuwa kikosi chako ni kibovu kweli kweli kimechoka na kimezeeka.Msimu huu Yanga wako vizuri kwenye idara zote.

Unawajua wa Davis Mosha wewe,Bin Klebu na wengineo wako pale kuhakikisha Yanga anashinda kila mechi.Usajiri mzuri,maandalizi mazuri,kocha mzuri,Posho na mishahara mizuri kwa wachezaji na benchi la ufundi,malazi mazuri na vyakula vizuri kwa wote,Kambi nzuri Avic Town kigamboni n.k katika mazingira hayo unafungwaje kwa kweli.Simba mjiandae kisaikolojia zile goli 5 zitarudi nakwambia.
 
Hana ushawishi huyo jamaa na kwenye hili atafeli vibaya mno. Simba haiishi kwa ruzuku za tff. Na ajue kuwa soka la bongo ni siasa na asisahau kuwa simba ilikuwepo kabla hata yeye hajazaliwa hivyo nikubwa mno asijusumbue hata kuitikisa maana hataweza.
Kwani chanzo Cha Mapato ya Simba ni kipi? Ebu tufumbue macho leo tusiojua
 
Mkataba ni kati ya GSM na TFF Simba inawahusu nini
Screenshot_20211209-053742_Instagram.jpg
 
Acha propaganda za kijinga wewe.Kama kufungwa utafungwa kwa ubovu wa kikosi chako usipende kuzungumzia mambo binafsi ya mtu kwa kuhusisha na masuala ya mpira.Kama kufungwa utafungwa kwa kuwa kikosi chako ni kibovu kweli kweli kimechoka na kimezeeka.Msimu huu Yanga wako vizuri kwenye idara zote.Unawajua wa Davis Mosha wewe,Bin Klebu na wengineo wako pale kuhakikisha Yanga anashinda kila mechi.Usajiri mzuri,maandalizi mazuri,kocha mzuri,Posho na mishahara mizuri kwa wachezaji na benchi la ufundi,malazi mazuri na vyakula vizuri kwa wote,Kambi nzuri Avic Town kigamboni n.k katika mazingira hayo unafungwaje kwa kweli.Simba mjiandae kisaikolojia zile goli 5 zitarudi nakwambia.
😂😂😂😂 timu mbovu unaizidi point 2 na ligi bado mechi zaidi ya 20 kweli mmetekewa , kuwepo hao uliowataja kuliwawezesha kumfunga Namungo?
 
Back
Top Bottom