Wameshaanza kutafuta sababu za kipigo watakachopata siku ya jmosi.Simba Bwana hahahahahaHuna jibu ndo maana, Hilo swali ushamalizwa huna la kuongea.. Au bac tufanye Karia sasa Kawa Yanga kindakindaki nae
Kwani chanzo Cha Mapato ya Simba ni kipi? Ebu tufumbue macho leo tusiojuaHana ushawishi huyo jamaa na kwenye hili atafeli vibaya mno. Simba haiishi kwa ruzuku za tff. Na ajue kuwa soka la bongo ni siasa na asisahau kuwa simba ilikuwepo kabla hata yeye hajazaliwa hivyo nikubwa mno asijusumbue hata kuitikisa maana hataweza.
😂😂😂😂 timu mbovu unaizidi point 2 na ligi bado mechi zaidi ya 20 kweli mmetekewa , kuwepo hao uliowataja kuliwawezesha kumfunga Namungo?Acha propaganda za kijinga wewe.Kama kufungwa utafungwa kwa ubovu wa kikosi chako usipende kuzungumzia mambo binafsi ya mtu kwa kuhusisha na masuala ya mpira.Kama kufungwa utafungwa kwa kuwa kikosi chako ni kibovu kweli kweli kimechoka na kimezeeka.Msimu huu Yanga wako vizuri kwenye idara zote.Unawajua wa Davis Mosha wewe,Bin Klebu na wengineo wako pale kuhakikisha Yanga anashinda kila mechi.Usajiri mzuri,maandalizi mazuri,kocha mzuri,Posho na mishahara mizuri kwa wachezaji na benchi la ufundi,malazi mazuri na vyakula vizuri kwa wote,Kambi nzuri Avic Town kigamboni n.k katika mazingira hayo unafungwaje kwa kweli.Simba mjiandae kisaikolojia zile goli 5 zitarudi nakwambia.
Karia amecompromise na Ghalib. Fedha fedheha. Na yote kwa yote Karia ni Coastal Union ambayo inafadhiliwa na GSM.Vipi kuhusu "WALLACE KARIA" mwana SIMBA kindaki ndaki nae anatumika na YANGA pamoja na GSM
Yeye ndiye aliyepokea Mkataba na kusaini.