Baada ya kusikiliza kwa umakini bunge la Kenya likijadili kauli tata ya mbunge mwenzao huku wakionekana wakiunga mkono watanzania kuondolewa kwenye shughuli za kibiashara nchini humo, Mbunge Ndg Duale amesema Mkurugenzi Mkuu wa Baclays Bank of Tanzania aitwae Abdi Mohammed amekua akimpa taarifa kila kila siku kuwa wakenya wanapitia magumu na matatizo mbalimbali kutoka Tanzania.
Sasa tumepata pa kuanzia maana kumbe wapo wanaojua madhila wanayopitia Wakenya hapa nchini kwetu na pengine mamlaka za usalama na vyombo vyake vimhoji huyu Abdi Mohammed kujua hizo taarifa ambazo amekuwa akitoa kwa mbunge ndg Duale.
Lazima atoe ushirikiano wote kwa Jeshi letu la Polisi na vyombo vyake ili kujua sintofahamu kunako tengeneza ufa na mahusiano mabaya baina ya hizi nchi mbili jirani.