CEO wa Baclays Bank Tanzania Ahojiwe

Nali

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
1,155
812
Baada ya kusikiliza kwa umakini bunge la Kenya likijadili kauli tata ya mbunge mwenzao huku wakionekana wakiunga mkono watanzania kuondolewa kwenye shughuli za kibiashara nchini humo, Mbunge Ndg Duale amesema Mkurugenzi Mkuu wa Baclays Bank of Tanzania aitwae Abdi Mohammed amekua akimpa taarifa kila kila siku kuwa wakenya wanapitia magumu na matatizo mbalimbali kutoka Tanzania.

Sasa tumepata pa kuanzia maana kumbe wapo wanaojua madhila wanayopitia Wakenya hapa nchini kwetu na pengine mamlaka za usalama na vyombo vyake vimhoji huyu Abdi Mohammed kujua hizo taarifa ambazo amekuwa akitoa kwa mbunge ndg Duale.

Lazima atoe ushirikiano wote kwa Jeshi letu la Polisi na vyombo vyake ili kujua sintofahamu kunako tengeneza ufa na mahusiano mabaya baina ya hizi nchi mbili jirani.
 
Baclays bank wenye hisa kubwa ni wahindi saiv,mameneja na wakurugenzi asilimia kubwa ni wahindi tu
 
Barclays Bank Tanzania pamoja na NBC ni Mali ya absa group 100% kutoka south Africa hakuna Mhindi Wenye hisa pale na pia BARCLAYS hakuna mhindi hata mmoja senior positions zote ni watazania ndo wako nazo@KOPITES
 
Tatizo la kwetu sisi watanzania tu wavivu wa kutafuta the other side of the story,tumeshazoeshwa mihemko na hii imeleta athari kubwa kwetu tunaishia kujibu hoja kimihemko,sasa mchangaaji mmoja anakurupuka na kusema hii Bank wanahisa wake ni wahindi!!!wakati ukweli wenyewe hii Bank ni mali ya ABSA (NA HII ILIINGIA UBIA NA BARCALYS UK) na ubia huu unakoma na kwa sasa tutashuhudia mabadiliko makubwa maana ABSA itabidi waendeshe wenyewe shughuli hii hasa kwa matawi yaliyo nje na ABSA.Ahsante mkuu kwa kuliweka wazi hili hasa kuhusiana na Wahindi.Na Watanzania wenzangu tuchape kazi tuachane kabisa na xenophobic thinking,mkenya akipata kazi Tanzania kwa kufuata sharia za nchi ni lazima tuheshimu.
 
Baada ya kusikiliza kwa umakini bunge la Kenya likijadili kauli tata ya mbunge mwenzao huku wakionekana wakiunga mkono watanzania kuondolewa kwenye shughuli za kibiashara nchini humo, Mbunge Ndg Duale amesema Mkurugenzi Mkuu wa Baclays Bank of Tanzania aitwae Abdi Mohammed amekua akimpa taarifa kila kila siku kuwa wakenya wanapitia magumu na matatizo mbalimbali kutoka Tanzania.

Sasa tumepata pa kuanzia maana kumbe wapo wanaojua madhila wanayopitia Wakenya hapa nchini kwetu na pengine mamlaka za usalama na vyombo vyake vimhoji huyu Abdi Mohammed kujua hizo taarifa ambazo amekuwa akitoa kwa mbunge ndg Duale.

Lazima atoe ushirikiano wote kwa Jeshi letu la Polisi na vyombo vyake ili kujua sintofahamu kunako tengeneza ufa na mahusiano mabaya baina ya hizi nchi mbili jirani.
Wewe unayo majungu sana nakumbuka ulifukuzwa benki ya posta sababu ya majungu yako sasa umeingia Barclay's bank .Unapenda kusambaza maneno ya majungu kwenye benki .sijui uwa unaroga kwa nani mpaka unapenya kwenye body ya wakurugenzi.Bank Barclay's tumia hackers wenu tambua Hugo mtu siyo mzuri kwenye biashara.
 
Wanacheza na Magu hao, shauri yao
Me sidhani kama swala ni kucheza na Magu au lah! Cha muhimu ni kuangalia ufa huu unatokea wapi na namna gani kutatua tatizo. Kumbuka Kenya ni jirani zetu tunategemeana kwa kiasi kikubwa sana kuna watanzania wa mpakani wanategemea Kenya kwa kiasi kikubwa kupata mahitaji yao ya kila siku vile vile na wakenya pia kupata mahitaji na bidhaa kutoka Tanzania. Kumbuka kua huko mpakani wameoleana pande zote, hivyo basi ni busara kupata muhafaka bila kutumia misuli. Watakao umia ni raia wa pande zote na siyo viongozi.
 
The more kenyans na watanzania wanavyoyakuza haya majambo,itafika wakati soote tutashika vichwa....kwa nini tusiyadharau hayo matamko na tusonge mbele soote.
Sisi hatujui uwezo wao kijeshi na wao pia hawajui uwezo wetu kijeshi,hivyo basi hakuna haja ya kuchochea chuki ambazo zinaweza leta madhara
 
Tatizo la kwetu sisi watanzania tu wavivu wa kutafuta the other side of the story,tumeshazoeshwa mihemko na hii imeleta athari kubwa kwetu tunaishia kujibu hoja kimihemko,sasa mchangaaji mmoja anakurupuka na kusema hii Bank wanahisa wake ni wahindi!!!wakati ukweli wenyewe hii Bank ni mali ya ABSA (NA HII ILIINGIA UBIA NA BARCALYS UK) na ubia huu unakoma na kwa sasa tutashuhudia mabadiliko makubwa maana ABSA itabidi waendeshe wenyewe shughuli hii hasa kwa matawi yaliyo nje na ABSA.Ahsante mkuu kwa kuliweka wazi hili hasa kuhusiana na Wahindi.Na Watanzania wenzangu tuchape kazi tuachane kabisa na xenophobic thinking,mkenya akipata kazi Tanzania kwa kufuata sharia za nchi ni lazima tuheshimu.
Yaani nilipisikia anamtaja nikajua tayari ameshamuweka kweny shida.
 
Barclays Bank Tanzania pamoja na NBC ni Mali ya absa group 100% kutoka south Africa hakuna Mhindi Wenye hisa pale na pia BARCLAYS hakuna mhindi hata mmoja senior positions zote ni watazania ndo wako nazo@KOPITES
Kwenye senior positions wapo.
 
Back
Top Bottom