Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,906
- 22,050
Waswahili wanasema unapomtunza mwanao leo kesho ndivyo atakavyoishi.
Mh. CEO Mrisho Swissport imekuwa kampuni kubwa sana huwa mpaka sasa nawazaga kwanini wafanyakazi wanalalamika mishahara mibovu kwanini wananchi wanalalamika mizigo inaibiwa.
Leo nimeona nikuwekewe wazi jinsi ya kupata soln, unapomjali mfanyakazi na yeye anakujali, ndio maana leo hii wazazi wengi wanakufa masikini vijijini ama mjini huku watoto wao wakiitwa CEO ama Managers sio kwamba ni nini, ni jinsi walivyowalea wakiwa wadogo na hayo ndio matunda yake.
Mh. Mrisho umekuwa Swissport miaka mingi sana na moja ya sifa ulishiriki kuwa mshika fedha mkuu. Hili nakuheshimu mpaka naondoka duniani. Kupitia wewe unajua mishahara ya vijana wako na hata baadhii za cheki hazikupita kwenda kwa wafanyakazi bila saini zako.
Sasa sahivi sio tena kama mweka fedha ni zaidi ya mzazi ambae anatarajia matunda bora toka kwa watoto zake.
Umekuwa ukisaini cheki nyingi za malipo ya mizigo iliyoibiwa hapo Dar na naamini kabisa kwa dhati kasi hio itapungua tu kama mtashirikiana na kuishi kama ndugu hapo ofisini.
Wapo wanasema aliejisahau lakini sio kwako kamwe. Mh. Mrisho mishahara ya wafanyakazii imekuwa shida na mbaya zaidi kuna wafanyakazi wanafanyakwa mikataba zaidi ya mia na mingi, mbaya zaidi miezi mitatutatu sheria za ajira haziruhusu hii, naamini kupitia kwako utaliona hili.
Vijana wako wamekuwa wakilalama sana kwenye mitandao na hata mikutano yenu, wanahitaji kuboreshwa mishahara na sio allowance. Hakuna anaelipwa allowance siku akiondoka.
Kupitia hili wizi umeongezeka we unajua wazi hata Mh. Temu akijaribu kuleta wanajeshi wastaafu akihisi watasaiidia nao ni binadamu wanahitaji mishahara minono else mnaendeleaa kupigwa kama kawaida.
Nashauri Mh. CEO kwanza ita wafanyakazi wako weka kero zao waeleze wanashida gani else wizi wa mizigo utandelea kama kawaida na wale mnaolipa mikataba ya miezi mitatu ndio kabisa milango ya kuiba mnaweka wazi. Ajirini watu sawa na qualifications zao.
Wafanyakazi wapewe post sawa na shule zao sio kuangalia tu mtoto wa mjomba shangazi, hii ni shida.
Mwisho tukubali lazima twende sawa usikubalii tu maisha ya majungu na umbea wawafanyakazi kama ulivyoekuwa huko nyuma. Mfanyakazi akimchukia mwenzie na kwenda kuripoti juu gafla anafukuzwa amakusimamishwa huo ni upuuzi usikubali. Mfanyakazi akileta malalamiko procedure zifwate mkondo wake
Lazima wafanyakazi wapendane kwanza ili mtengeneze Swissport ya mafanikio.
Otherwise nakutakia majukumu mema huko uendako nikitarajia kuona Swissport ya ufanisi zaidi na sio majungu na umbea.
ALL THE BEST