CEO Mrisho Swissport, zamu yako kuboresha mishahara ya wafanyakazi wako kuondoa malalamiko ya wizi

P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
42,056
Likes
9,548
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
42,056 9,548 280
Waswahili wanasema unapomtunza mwanao leo kesho ndivyo atakavyoishi.

Mh. CEO Mrisho Swissport imekuwa kampuni kubwa sana huwa mpaka sasa nawazaga kwanini wafanyakazi wanalalamika mishahara mibovu kwanini wananchi wanalalamika mizigo inaibiwa.

Leo nimeona nikuwekewe wazi jinsi ya kupata soln, unapomjali mfanyakazi na yeye anakujali, ndio maana leo hii wazazi wengi wanakufa masikini vijijini ama mjini huku watoto wao wakiitwa CEO ama Managers sio kwamba ni nini, ni jinsi walivyowalea wakiwa wadogo na hayo ndio matunda yake.

Mh. Mrisho umekuwa Swissport miaka mingi sana na moja ya sifa ulishiriki kuwa mshika fedha mkuu. Hili nakuheshimu mpaka naondoka duniani. Kupitia wewe unajua mishahara ya vijana wako na hata baadhii za cheki hazikupita kwenda kwa wafanyakazi bila saini zako.

Sasa sahivi sio tena kama mweka fedha ni zaidi ya mzazi ambae anatarajia matunda bora toka kwa watoto zake.

Umekuwa ukisaini cheki nyingi za malipo ya mizigo iliyoibiwa hapo Dar na naamini kabisa kwa dhati kasi hio itapungua tu kama mtashirikiana na kuishi kama ndugu hapo ofisini.

Wapo wanasema aliejisahau lakini sio kwako kamwe. Mh. Mrisho mishahara ya wafanyakazii imekuwa shida na mbaya zaidi kuna wafanyakazi wanafanyakwa mikataba zaidi ya mia na mingi, mbaya zaidi miezi mitatutatu sheria za ajira haziruhusu hii, naamini kupitia kwako utaliona hili.

Vijana wako wamekuwa wakilalama sana kwenye mitandao na hata mikutano yenu, wanahitaji kuboreshwa mishahara na sio allowance. Hakuna anaelipwa allowance siku akiondoka.

Kupitia hili wizi umeongezeka we unajua wazi hata Mh. Temu akijaribu kuleta wanajeshi wastaafu akihisi watasaiidia nao ni binadamu wanahitaji mishahara minono else mnaendeleaa kupigwa kama kawaida.

Nashauri Mh. CEO kwanza ita wafanyakazi wako weka kero zao waeleze wanashida gani else wizi wa mizigo utandelea kama kawaida na wale mnaolipa mikataba ya miezi mitatu ndio kabisa milango ya kuiba mnaweka wazi. Ajirini watu sawa na qualifications zao.

Wafanyakazi wapewe post sawa na shule zao sio kuangalia tu mtoto wa mjomba shangazi, hii ni shida.

Mwisho tukubali lazima twende sawa usikubalii tu maisha ya majungu na umbea wawafanyakazi kama ulivyoekuwa huko nyuma. Mfanyakazi akimchukia mwenzie na kwenda kuripoti juu gafla anafukuzwa amakusimamishwa huo ni upuuzi usikubali. Mfanyakazi akileta malalamiko procedure zifwate mkondo wake

Lazima wafanyakazi wapendane kwanza ili mtengeneze Swissport ya mafanikio.

Otherwise nakutakia majukumu mema huko uendako nikitarajia kuona Swissport ya ufanisi zaidi na sio majungu na umbea.

ALL THE BEST
 
barafu

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Messages
6,393
Likes
27,425
Points
280
barafu

barafu

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2013
6,393 27,425 280
Mpwaaa Pdidy afadhari umekuja kuwasemea hawa vijana ambao ni watoto wetu.
Swissport ni kampuni kubwa sana,lkn inawalipa wafanyakazi wake kinyonyaji sana.Inapata faida kubwa lkn haiboreshi maisha ya wafanyakazi wake.

Bila shaka rafiki yangu Mrisho atalitatua hili tatizo,naelewa utendaji wa ndugu yangu Mrisho kijana wa Kigoma huyu.Aboreshe mishahara kwa vijana.Maana tumechoka kuchaniwa mabegi yetu.Yaani mtu unatoka zako kasafari ka nje umewafungia watoto vizawadi unafika nyumbani kufungua unakutana na box tupu,vijana washapiga jambo.

Wapeni mikataba mizuri,muwaajiri kulingana na elimu zao.Sio mtu unampa cheo cha "Supervisor" halafu unamlipa kama "Customer Agent" au "Loader",hapo hata akiona mzigo wa simu za Watu wa Kkoo lazima achomoe hata moja ili apate kufidia gape la mshahara.

Mkuu Mrisho,boresha mishahara ya watoto wetu hapo,hata ukileta Security ambao ni Wanajeshi Wastaafu kama kina Pili,lazima utapigwa tu.Suluhisho ni mshahara sio ulinzi,binadamu hachungiki.Mimi nilishakwapuliwa kwenye begi laptop mbili na Ext.Hard Disc ya GB za kutosha tu.
 
KIUKWELII

NILIWAHII CHAPISHA ZILE TAARIFA ZAOO ZAKUJINADI KWENYE MAGAZETI NIKAWAONYESHA WAFANYAKAZI WALIKUWA WANALIAAA

CHAA KUMSHUKURUU MUNGUU ALIEKUWAA AKITAYARISHAA ZILEE TAARIFAA SASA NI CEO MRISHO NIKIMAANISHA ANAJUA UKWELI WOTE

NAAMINII MH MRISHOO UBORA WAKAMPUNI SIOO KUWA NA FAIDA KUBWA NA KUWA NA HESHIMA KUBWA HASA KWA WAFANYAKAZI WAKO UNAPORUHUSU TU WIZI HATA UPATE BILION MIA FAIDA WENGINS WATAJUA ZIMECHANGIWA NA WIZI WA MABEGI YETU

HUKO TUSIFIKE NAAMINI KABISA NA NAKUAMINI KABISA KAKA MRISHO HUKUJA KWA BAHATI MBAYA MUNGU AKUTIE NGUVU KAMA ULIVYOKUWA UKISALI MDA WOTE AS CFO ONGEZA SPEED YAMAOMBI MUNGU AKUONUYESHE YA ROHONI
WALEWALIOKUWA NA ROHO MBAYAA WAKIPINGA KUONGEZWA MASLAHI YA WAFANYAKAZI NDIOO HAOO WALIKUWA WAKIMNANGA TEMU MWISHO WASIKJ WATI WANAPOLALAMIKA WIZI WA MABEGI NA WEWE KULETEWA DOCS NA KUANDIKA CHEKI ZA WATU....

TURUDISHE SWISSPORT YENYE HESHIMA YAKE.... HATA ALIETOKA DAHACO KUHAMIA SWISSPORT ASIJUTE
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
42,056
Likes
9,548
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
42,056 9,548 280
Kilichokuwa kikinisikitisha zaidi

Walematop wamekuwaa wakiajiri NA nduguzaoo well n good wanashulenzurii wakasahauu kamawaynashindwa kuwaboroshea mishahara kesho wakiondoka mabosi wataishiakulia NA mishahara ileileee.... Jeunakuwa umewasaidia ama??

Allowance sijuii bonance hizoo alipwi mtusiku akiondoka kazini vyemaa mkakazaniaaa kupataa mishaharaa boraa ambayooo kwazile faidaa maagazetini hon mrishoo inawezekana kabisaaa

Ngoja nianze weekend kidogo hapa calabash mwanaswissport ukijisikia join kumpongeza ceo karibusana

Drinks @urownrisk
 
C

ComputersDAR

Senior Member
Joined
Jan 21, 2013
Messages
136
Likes
46
Points
45
Age
39
C

ComputersDAR

Senior Member
Joined Jan 21, 2013
136 46 45
Mkuuuu nilisemaaa mrishooo yukovizurii

Kawapeleka vijanaa kigambonii kusafisha NA nyotaa hayandioo tunataka
Hapo simwoni. Ana sura kaa beberu
 
barafu

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Messages
6,393
Likes
27,425
Points
280
barafu

barafu

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2013
6,393 27,425 280
Mkuuuu nilisemaaa mrishooo yukovizurii

Kawapeleka vijanaa kigambonii kusafisha NA nyotaa hayandioo tunataka
Mpwa hii ni lini mpwa?Ilikuwa tukio gani hapo mpwa?
 
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
10,762
Likes
4,020
Points
280
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
10,762 4,020 280
Ha ha ha wale vijana maloader wananiacha hoi aiseee,mishahara Yao 350000/-wengi wao wanamajumba,magari,....kumbe hufidia hasira zao katika mabegi ya watu,huyu CEO mpya aangalie maslahi ya wafanyakazi Ili kupunguza udokozi.
 
G

goodluck5

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Messages
3,014
Likes
2,567
Points
280
G

goodluck5

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2014
3,014 2,567 280
Kilichokuwa kikinisikitisha zaidi

Walematop wamekuwaa wakiajiri NA nduguzaoo well n good wanashulenzurii wakasahauu kamawaynashindwa kuwaboroshea mishahara kesho wakiondoka mabosi wataishiakulia NA mishahara ileileee.... Jeunakuwa umewasaidia ama??

Allowance sijuii bonance hizoo alipwi mtusiku akiondoka kazini vyemaa mkakazaniaaa kupataa mishaharaa boraa ambayooo kwazile faidaa maagazetini hon mrishoo inawezekana kabisaaa

Ngoja nianze weekend kidogo hapa calabash mwanaswissport ukijisikia join kumpongeza ceo karibusana

Drinks @urownrisk
Mkuu muombe aliyekuandikia kule juu aendelee kukuandikia hata huku chini.
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
7,282
Likes
8,834
Points
280
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
7,282 8,834 280
Wizi unadhibitiwa kwa kuweka sheria kali za kiuwajibikaji ambapo hapo hapo kwa kupitia hizo sheria na nidhamu ya kazi huongezeka na kuleta ufanisi...si kuongeza mishahara...
 
Tangawizi

Tangawizi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
3,032
Likes
1,057
Points
280
Tangawizi

Tangawizi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
3,032 1,057 280
Na uchaga uliotukuka...ukumbuke enzi za Fr. Kanuti Kigurunyembe
 
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
22,337
Likes
64,381
Points
280
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
22,337 64,381 280
Umenena, nimefurahi kuona jina lako tena.
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
42,056
Likes
9,548
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
42,056 9,548 280
Dahh mnamwondoa CEO MNAMPA MWENYEKITI WA BODI NAWAMBIAA MUNGU ANAWAONA
 
M

Muvina

Senior Member
Joined
Oct 23, 2016
Messages
136
Likes
56
Points
45
Age
49
M

Muvina

Senior Member
Joined Oct 23, 2016
136 56 45
Hata hivyo hao Swissport mbona Dawa yao imeshachemka wanasubiri kuinywa! Hakuna ku-rob tena
 
Forum statistics

Threads 1,274,229
Members 490,639
Posts 30,505,592