Central Bank ya Uingereza ina Akiba ya Tani 50 za dhahabu

Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
30,751
Likes
87,439
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
30,751 87,439 280
Nilikuwa ninaangalia taarifa ya habari BBC na walieleza bank ya Uingereza ina akiba ya tani 50 za dhahabu. Hii ni alibaki ambayo unaweza kutumika kama nchi ikiwa na hali mbaya ya fedha.

Sehemu kubwa ya dhahabu hii imetoka Afrika. Enzi za Mansa Mussa Ghana ilijulikana kama Pwani ya dhahabu na jamaa hawa waliivamia na kutawala. Wakiwa guardians wetu baada ya Mjerumani kuondoka hatujui walichimba kiasi gani kutoka Tanganyika.
 
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined
Oct 31, 2006
Messages
542
Likes
279
Points
80
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined Oct 31, 2006
542 279 80
Ili kujua akiba ya Tanzania, inabidi kuangalia chanzo kipi cha taarifa?
 
Zakumi

Zakumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2008
Messages
4,843
Likes
376
Points
180
Zakumi

Zakumi

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2008
4,843 376 180
Nilikuwa ninaangalia taarifa ya habari BBC na walieleza bank ya Uingereza ina akibabya tani 50 za dhahabu. Hii ni alibaki ambayo unaweza kutumika kama nchi ikiwa na hali mbaya ya fedha.

Sehemu kubwa ya dhahabu Hii imetoka Afrika. Enzi za Mansa Mussa Ghana ilijulikana kama Pwani ya dhahabu na jamaa hawa waliivamia na kutawala. Wakiwa guardians wetu baada ya Mjerumani kuondoka hatujui walichimba kiasi gani kutoka Tanganyika.
Toka binadamu aanze kuchimba dhahabu, inakadiliwa dhahabu iliyochimwa ni toni 160,000 mpaka 180,000 kwa makadirio. Kama umeangalia mashindano ya olimpiki ya kuogelea, kiasi hiki ni sawa na ujazo wa mabwawa miwili mpaka matatu. Piga picha ya ujazo huo na uone kwamba kwanini dhahabu ina thamani toka enzi na enzi. Supply ya dhahabu dunia ni ndogo.

Tukirudi kwenye hoja yako ya utajiri, dhahabu haikufanyi uwe tajiri. Inasaidia ukiwa nayo. Wa-spanish walipochukua Marekani ya kusini waliiba dhahabu yote. Lakini Spain moja ya taifa masikini barani Ulaya.

Kwa upande mwingine, waingereza walijua uchumi na wali-control supply and demand katika makoloni yake. Hivyo alichokazania yeye ni biashara zaidi. Kwa mfano aliwakataza wahindi wasitengeneze nguo, hili viwanda vyake viuze nguo. Alikataza makoloni yake ya Marekani yasinunue chai kutoka Colombia, hili yanunue chai kutoka Sri Lanka (koloni la mwingereza).
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
30,751
Likes
87,439
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
30,751 87,439 280
Toka binadamu aanze kuchimba dhahabu, inakadiliwa dhahabu iliyochimwa ni toni 160,000 mpaka 180,000 kwa makadirio. Kama umeangalia mashindano ya olimpiki ya kuogelea, kiasi hiki ni sawa na ujazo wa mabwawa miwili mpaka matatu. Piga picha ya ujazo huo na uone kwamba kwanini dhahabu ina thamani toka enzi na enzi. Supply ya dhahabu dunia ni ndogo.

Tukirudi kwenye hoja yako ya utajiri, dhahabu haikufanyi uwe tajiri. Inasaidia ukiwa nayo. Wa-spanish walipochukua Marekani ya kusini waliiba dhahabu yote. Lakini Spain moja ya taifa masikini barani Ulaya.

Kwa upande mwingine, waingereza walijua uchumi na wali-control supply and demand katika makoloni yake. Hivyo alichokazania yeye ni biashara zaidi. Kwa mfano aliwakataza wahindi wasitengeneze nguo, hili viwanda vyake viuze nguo. Alikataza makoloni yake ya Marekani yasinunue chai kutoka Colombia, hili yanunue chai kutoka Sri Lanka (koloni la mwingereza).
Shukran mkuu Waingereza pia walianza kufanya biashara ya elimu muda mrefu, baada ya kuyumba kwa uchumi wa viwanda Walibadilisha vyuo vyote vya Fundi ( Poly technics) kuwa vyuo vikuu. Watu wengi huamini ubora wa elimu ya Uingereza. Wachina, Waarabu, hata Waafrika walipeleka wanafunzi wao ambao hutozwa International Fee.

Hili la kufanya elimu ni biashara ndilo analofsnya Mhindi sasa.

Kuhusu dhahabu, tuna takwimu ya dhahabu iliyochimbwa enzi za Mfalme Sulaiman na Mansah Musa?
 
Forum statistics

Threads 1,250,889
Members 481,523
Posts 29,749,700