Cement ya pakstani

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
506
272
Nani anaingiza au wakala wao mkuu wa cement hii, nahitaji mifuko mingi kwa wakati mmoja na kwa bei nzuri.

asante
 
Upo tayari kutoa tsh ngapi na mifuko mingapi???na ni aina gani hasa unayotaka???funguka ...sms +971504374387 kama upo serious tutafanya kazi
 
Vp mifuko 300-400 kwa 7,500 each?

Fanya hivi mimi sasa kuna mifuko 300 naipakia kwenye container hapa dubai....bei ya mfuko mmoja imepanda maana inaitajika sana Qatar ambapo viwanja vikubwa kwa ajiri ya world cup vinajengwa...hivyo kwa sasa mfuko mmoja ni Tsh 4000 bado kuusafirisha na kuutolea ushuru dar..so kama waitaji tunawezakaa kama kamati..kupanga kununua kama watu watatu tukachanga kununua container zima pia tukachanga gharama za ushuru
 
Container moja linaingia mifuko mingapi ya 50kg, na nauli ya container ni bei gani, ushuru ni bei gani, una watu bandarini? funguka tujiunge mkuu!
 
Hii thred ni ya msingi sana. Ngoja nami nifanye mpango wa kujuwa ushuru wake j3 nione kama naweza jiunga kwenye group ya kuagiza. Tujuzane inaingia mifuko mingapi kwenye 40ft container maana inakuwa ni size kubwa na gharama ya kusafirisha tofauti sio kubwa na 20ft.
 
JF sometimes pazuri sana!! Madili nje nje

Sent from my EyePhone
 
Kiongozi me ninayo hiyo cement na kuna ile ya kilwa pia kwa wingi wowote pia bati zipo mbao pia kwa wingi wowote!

Mwenyekuhitaji anitafute kwa namba hii 0713935738 kwa wenye kuhitaji ujenzi ulio imala na wa uhakika vifaa vya ujenzi.

*cement.
*mbao za ujenzi.
*mabati ya kila aina.
*milunda.
 
Fanya hivi mimi sasa kuna mifuko 300 naipakia kwenye container hapa dubai....bei ya mfuko mmoja imepanda maana inaitajika sana Qatar ambapo viwanja vikubwa kwa ajiri ya world cup vinajengwa...hivyo kwa sasa mfuko mmoja ni Tsh 4000 bado kuusafirisha na kuutolea ushuru dar..so kama waitaji tunawezakaa kama kamati..kupanga kununua kama watu watatu tukachanga kununua container zima pia tukachanga gharama za ushuru

Yelowii, Mfuko mmoja Pakistani Tshs. 4,000/=! Kwanini Tanzania (Mwanza) Tsh. 19,000/=! Jamani sipati picha, Kumbe aliyoyasema Dr. Slaa kuwa inawezekana mfuko ukauzwa Tshs. 5,000/=. CCM mnatuangamiza watanzania!
 
he siasa tena
 
Tatizo la JF siku hizi hakuna thread inayoisha bila wanaJF kadhaa kumtaja Dr. Slaa.

Toeni ukungu huo kwenye akili zenu, uzi wa maana mnaanza kuingiza siasa.

Wakuu tupeni cost ya kuagiza mpaka Dar, mi nahitaji mifuko 500 hivi
 
Container moja linaingia mifuko mingapi ya 50kg, na nauli ya container ni bei gani, ushuru ni bei gani, una watu bandarini? funguka tujiunge mkuu!
Kwa mwaka huu sijajua ushuru wa cement ulivyo ila mwaka jana niliingiza mifuko 450 na ushuru ulikuwa 1.1ml ukipata clearing agent mzuri atakwambia ilivyo kwa sasa...tani moja ni tsh ngapi za ushuru
 
Fanya hivi mimi sasa kuna mifuko 300 naipakia kwenye container hapa dubai....bei ya mfuko mmoja imepanda maana inaitajika sana Qatar ambapo viwanja vikubwa kwa ajiri ya world cup vinajengwa...hivyo kwa sasa mfuko mmoja ni Tsh 4000 bado kuusafirisha na kuutolea ushuru dar..so kama waitaji tunawezakaa kama kamati..kupanga kununua kama watu watatu tukachanga kununua container zima pia tukachanga gharama za ushuru
Ningependa kuunganisha nguvu tafadhali.
 
Habari ndugu. Nimefuatilia na kodi niliyoambiwa ninkuwa , unalipia Import duty 25% harafu Vat ni 18% . Kwahiyo kama cement ni Tsh 4000 Imp 25% Tsh 1000 Total Tsh 5000 Vat 18% 900. Jumla ya gharama nzima na kodi zote inakuwa Tsh 5900. Mtujuze gharama za usafiri wadau wa pande hizo. Clearing haina shida kampuni ninayo ya kwangu haina shida.
 
Upo sahihi kabisa. 4,000*1.25 = 5,000 na 5,000.00 * 1.18 = 5,900.00

Hapo usafiri ndiyo utakaoeleza bei ya mfuko iwaje ukitoa port charges, na claring agent cost.
 
sidhani kama usafiri unaweza kufikia 3000 kwa mfuko kwani kuuza mfuko 14500 wa pakistani kwa kigamboni itakuwa wanapata sana faida..
 
Kwa sasa Dar cement ya pakstan ni TShs 14,000, kama inaweza patikana kwa bei nafuu, tuelezane
 
Hapa kitu cha msingi tupate bei ya usafiri kutoka inaponunuliwa. Tujuwe container 40ft ni kiasi gani kuja dar port na pia mifuko mingapi ya cement inaingia kwenye hiyo container. Port charges ni gharama ndogo sana. Wadau wa huko fanyeni mchakato wa kutujuza gharama ya usafiri.
 
hipi ndiyo cement nzuri ya pakistan? jina lake tafadhali! ama cement yoyote inayotoka pakistan ni nzuri?
 
Back
Top Bottom