Cement ya DANGOTE kushuka bei nchi nzima, sasa kuuzwa Tsh 10000/=

Hiyo bei ni ya wapi Mtwara au nchi nzima? Kama ni hivyo Nyati, Portland na wengineo watashusha!
 
cement ya mfanyabiashara maarufu bilionea Dangote sasa itauzwa kwa Tsh 10000/=
ni wakati sasa wa wananchi kujenga na kumiliki nyumba zao na kuondokana na adha ya upangaji maana malighafi inauzwa kwa bei nafuu ya Tsh 10000/=

Mkuu ujenzi sio cement tu! Kuna mchakato WA vitu vingi hadi nyumba inasimama. Navyo hivyo vipunguzwe bei sio cement tu!
 
Tatizo sio Dangonte tatizo ni madalali, Cement inauzwa kwa jumla hapa Dar 8400 alafu hapa kibaha tu tunauziwa rejareja 11500 sasa jiulize wa Kagera watauziwa bei gani???

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
hiyo habari iko proved, au hadithi tu kama mlivokuwa mnasema itauzwa 8,000tsh???
 
Tatizo sio Dangonte tatizo ni madalali, Cement inauzwa kwa jumla hapa Dar 8400 alafu hapa kibaha tu tunauziwa rejareja 11500 sasa jiulize wa Kagera watauziwa bei gani???

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
masasi ni 14000 tsh ambapo ni karibu zaidi kuliko dar
 
Bei ya mtwara ni 15k na dar 12.5k ile ya 32.5! Sio mbaya kuuzwa 10k ila pia basi na wengine wafuate nyayo na wapunguze na bei za mabati,tiles,mbao nk! Cement hata ikipungua sana haina impact kiiivyo.
 
Back
Top Bottom