Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 456
........
Mjibu mwenzio kwa hoja na sio kukurupuka tu. Kwa kufanya hivyo wenye mawazo kama yeye tutaona kwamba unafanya ufanyavyo ili kuwasaidia wezi wenzio, kitu ambacho unaweza kukikwepa ukiweza kujibu kwa hoja.wewe ignorant Robbinhood. hamna kitu kama hicho..... akili yako imechakachuliwa
Jamani kama mna kumbukumbu nzuri hii kampuni inayoitwa Airtel sasa chanzo chake kilianza Celtel ikabadilisha jina kukwepa kodi na kupata miaka 5 ya FREE tax na kuwa Zain vivohivyo na sasa wamejiuzia tena wenyewe na kubadilisha tena jina na kuwa Airtel kwa sababu nchi yetu inaruhusu kampuni kutokutoa kodi kwa kampuni za kigeni kwa miaka 5 na kwa kuwa kampuni hizo na zinafahamu na kuutumia huo mwanya vizuri na kila baada ya 5years hubadili majina ili kufaidika na kukwepa kodi. ilitokea hata Sheraton - move n pick hotel na kampuni nyingi migodini zinafanya hivyohivyo na raisi wa nchi JK anahuzuria kwenye hizo hafra kama alivyokwenda shereheni AIRTEL juzi huku akifahamu fikra ni madudu yanatendeka!.
Jamani nani abadilishe hizi katiba hii nchi itamalizwa na hawa wachukuchuaji!!!!
Mjibu mwenzio kwa hoja na sio kukurupuka tu. Kwa kufanya hivyo wenye mawazo kama yeye tutaona kwamba unafanya ufanyavyo ili kuwasaidia wezi wenzio, kitu ambacho unaweza kukikwepa ukiweza kujibu kwa hoja.
Well hoja ni kuwa kutoka Celtel kwenda Zain hakukuwa na change ya ownership yaani ni kama kuna kampuni moja ya mabasi ilikuwa inaitwa Really No Challange walibadilisha na kuiita Tashriff baada ya ajali kuiandama ile kampuni lakini umiliki ulibakia kuwa kwa mtu yule yule au Air Msae walipobadilisha ila jina jipya limenitoka kidogo......Kwahiyo Celtel to zain kulikuwa na change of name tu, ila hii ya Zain kwenda Airtel ni kuwa Zain wameuza hisa zao kw Airtel ya India na hayo maswala ya tax holiday yanategemea na investment ya Airtel.