Celtel Universities Challenge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Celtel Universities Challenge

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mkombozi, Mar 10, 2008.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2008
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wana JF, Tangu mashindano ya Celtel Universities Challenge yaanze nilikua nayafuatilia kwa kina. Mashindano hayo huusisha vyuo vingi vikiwemo vya Africa Mashariki. Cha kusikitisha sana baadhi ya vyuo vyetu vikuu vya Kitanzania vimekua vikifanya vibaya sana ukilinganisha Uganda na Kenya. Mfano mzuri ni Jana Jumapili tarehe 9/2/2008, Chuo Kikuu DSM kikipambana na Egaton University from Kenya. UDSM walibwagwa kwa kiajabu na Egaton. UDSM walionekana kama watoto wa sekondari, walikua wanaduaa kujibu maswali, wakati mwingine walikua wa wanashituka ikifika wakati wao, kujiamini kulikua sifuri kabisa. Mimi nashindwa kuelewa tatizo ni nini hasa, je ni mfumo wa elimu mbovu au wliochagulia kuiwakilisha UDSM kulikua na harufu ya RichMond? Wana JF nisaidie hapo. Hata St Agustin kilifanya vibaya. Matokeo ya Jana, UDSM=340 point wakati Egaton ni 940 points, ni aibu kubwa kwa UDSM. Kulikoni?
   
 2. Mushobozi

  Mushobozi JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2008
  Joined: Aug 20, 2007
  Messages: 543
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  NAOMBA VYUO VYA TANZANIA VILIVYOBAKI. TAFADHARI MIMI NIKO MBALI NA VYOMBO VYA HABARI VYA HAPO..
   
 3. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2008
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 794
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  Kitendo cha kutoka 0 points kwenye first round huku wenzao wakiwa na 210 was so shameful,

  kwa muono wangu ni kuwa hawa wanafunzi hawakukua katika mazingira ya elimu bali katika mazingira ya kufaulu mtihani. Tuchukulie mfano yule dada wa ergeton anaonyesha kabisa kuwa yeye ni normal student mwenye kupata elimu kutoka vyanzo mbalimbali mf, kusoma novels, kuangalia filamu, kusoma magazeti, kusikiliza nyimbo n.k,

  Back to us kwetu elimu ni unajua formula ngapi na unaweza kukumbuka majibu vipi? ila yanayotuzunguka we dont care, I remember when we were in DS classes pale UD, professa Haroub Othman alikuwa anapenda kuuliza maswali ya general world issues e.g politics, food&science etc sasa wanafunzi walikuwa wakiguna wewe prof mwaga topic yako sisi tutimke.tunachojali ni A ya DS.
  Kwakuwa hatuna mazingira ya elimu inayotokana na vyanzo mbalimbali. Bado tuna safari ndefu, ndefu mno.

  Changamoto kwetu:
  Tuwazoeze watoto wetu kujifunza kutokana na mambo mbalimbali ikiwa ulimwengu wa wanyama, movie, nyimbo etc
  serikali itoe mkazo wa kuwajengea ujasiri wanafunzi kwa midahalo mingi, uandishi mwingi wa insha etz.
  Suala la Lugha lipewe mkazo. Japo lugha yetu ni kiswahili lakini tujizatiti na kiingereza ili tukushindanishwa na majirani zetu tuwe na confidence ya kutosha.

  all the best to the remaining Tanzanian Universities.
   
 4. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2008
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Asilaumiwe mtu tulishasema Mchawi wa mambo yote kiuchumi,kielimu, tz ni UDSM.Hawa wanaojiita wasomi waliobobea siku wakisutuka na kutambua hawajabobea kwa lolote ndipo mapinduzi ya elimu/uchumi utapoanza rasimi ncini.
   
 5. Mushobozi

  Mushobozi JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2008
  Joined: Aug 20, 2007
  Messages: 543
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  it pains really. ila wenye habari rasimi tuambieni vyuo gani vimebaki. maana habari nilizonazo hata kairuki kambwaga Makerere, ila SAUT naye kafanya vibaya. je ni hivyo tu vilivyotuwakilisha au kuna vingine.
   
 6. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2008
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  General knowledge sii tu elimu ya darasani!

  Kuna wanafunzi wengi hapo UD ukimuuliza Helsinki iko wapi hawtajua ingawa ana A ya Economics!
   
 7. Mushobozi

  Mushobozi JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2008
  Joined: Aug 20, 2007
  Messages: 543
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  UD unamaanisha university of Dodoma UD-OM
  , au University of Dar Esalaam UD-SM

  hopefully UDSM.
   
 8. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2008
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  The University of Dodoma (UDOM) ila nilimaanisha The University of Dar es Salaam (UDSM)..(UD)

  UD kwa Tz ndo popular zaidi kwani UDOM itachukua mda kufahamika!
   
Loading...