Cello upande wa sells Chang'ombe ni genge la Wahuni

Stayfar

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
1,067
2,222
Nyie Cello mbozi Road sijui kama Uongozi mnajua hapo Sells mmeajil sellers ambao hawajitambui. Mteja ukifika hapo wafanyakazi hawana nidhamu kabisa ni makelele ya story za manyumbani kwao, hawana customer care hata kidogo, kuna vibinti wazawa na Watanzania wenye asili ya kiasia, wote hawa hawajali kabisa mteja.

Kinachoudhi ni makelele waliyonayo humo ndani na wala hawachagui maneno. Hebu nyie Cello tuondoleeni hili genge au wafundishe Customer care.
 
Back
Top Bottom