Celibacy ni hali ya mtu ambaye hayuko kwenye ndoa na ambaye hafanyi tendo la ndoa.
Sasa hapo kwenye tendo la ndoa sijui fasili yake inaanzia wapi na kuishia wapi kwa sababu kuna watu wengine p.unyeto huwa hawaihesabu kuwa ni tendo la ndoa.
Celibacy ni hali ya mtu ambaye hayuko kwenye ndoa na ambaye hafanyi tendo la ndoa.
Sasa hapo kwenye tendo la ndoa sijui fasili yake inaanzia wapi na kuishia wapi kwa sababu kuna watu wengine p.unyeto huwa hawaihesabu kuwa ni tendo la ndoa na wengine wanaihesabu kuwa ni tendo la ndoa.
Hapo kwenye bold labda ni vyema kutumia neni "tendo la kujamiiana"
Itapendeza zaidi maana tendo la ndoa lnahusisha wanandoa tu na nje ya hapo ni kujamiiana.
Otherwise nakubaliana na tafsiri yako mkuu.....

vipi tena!nataka kujua do's and dont's zake
ili nisije haribu mahali
Hapo kwenye bold labda ni vyema kutumia neni "tendo la kujamiiana"
Itapendeza zaidi maana tendo la ndoa lnahusisha wanandoa tu na nje ya hapo ni kujamiiana.
Otherwise nakubaliana na tafsiri yako mkuu.....
vipi tena!
na huu mwaka mpaka uishe huu mbona we have a lot in store!ahahahhaahahahhah JHUU YA NINI KUANZA KUULIZIA MAKITU YA KUACHA MASUKARI GURU!lol konnie nini mamie?
Kujamiiana na kwenyewe hakuna definition kamili mkuu... au nimekosea?
heheiyah!nataka kuacha masukari
naona yanataka kunipalia
ila nataka kuacha kwa ajili ya kitu fulani
na sitaki kuharibu mtiririko.
kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili sanifu nitakupa tafsiri:
Jamii- Ingilia mwanamke; t.o.m.b.a
~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~iana.