Celibacy . . .

Celibacy ni hali ya mtu ambaye hayuko kwenye ndoa na ambaye hafanyi tendo la ndoa.

Sasa hapo kwenye tendo la ndoa sijui fasili yake inaanzia wapi na kuishia wapi kwa sababu kuna watu wengine p.unyeto huwa hawaihesabu kuwa ni tendo la ndoa na wengine wanaihesabu kuwa ni tendo la ndoa.
 
Sasa hapo kwenye tendo la ndoa sijui fasili yake inaanzia wapi na kuishia wapi kwa sababu kuna watu wengine p.unyeto huwa hawaihesabu kuwa ni tendo la ndoa.

Hapo kwenye bold labda ni vyema kutumia neni "tendo la kujamiiana"
Itapendeza zaidi maana tendo la ndoa lnahusisha wanandoa tu na nje ya hapo ni kujamiiana.

Otherwise nakubaliana na tafsiri yako mkuu.....
 
okay, inajumuisha kuacha vitu vingine kama kissing, flirting and the like?

Je, nahusisha tendo la ndoa tu?

Celibacy ni hali ya mtu ambaye hayuko kwenye ndoa na ambaye hafanyi tendo la ndoa.

Sasa hapo kwenye tendo la ndoa sijui fasili yake inaanzia wapi na kuishia wapi kwa sababu kuna watu wengine p.unyeto huwa hawaihesabu kuwa ni tendo la ndoa na wengine wanaihesabu kuwa ni tendo la ndoa.
 
celibacy ndo mdudu gani? Subiri nikagoogle

Sijaelewa nasubiri watakaochangia nami nijue

Bitabo .. maana yake ni NO SEX - unaishi bila ya kufanya SEX .. kabisa
celibacy_vow_m-200x200.jpg
 
nataka kujua do's and dont's zake
ili nisije haribu mahali

Hapo kwenye bold labda ni vyema kutumia neni "tendo la kujamiiana"
Itapendeza zaidi maana tendo la ndoa lnahusisha wanandoa tu na nje ya hapo ni kujamiiana.

Otherwise nakubaliana na tafsiri yako mkuu.....
 
nataka kuacha masukari
naona yanataka kunipalia

ila nataka kuacha kwa ajili ya kitu fulani
na sitaki kuharibu mtiririko.

vipi tena!
na huu mwaka mpaka uishe huu mbona we have a lot in store!ahahahhaahahahhah JHUU YA NINI KUANZA KUULIZIA MAKITU YA KUACHA MASUKARI GURU!lol konnie nini mamie?
 
Nimecheka sana mpaka mama Ngina ananishangaa................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom