Hujajibiwa 2 mpaka leoNaona hype kubwa ya watu especially huko abroad kuhusu celery juice. Kuna mtu alishawahi kujaribu kunywa hyo juice? Wapi ulipata celery and ilikusaidia kiafya?
Kiswahili chake ndo mboga ganiGoogle utaona faida zake, nilinunua kkoo sokoni zipo nyingi
Ndio leo nimejua kwamba figiri huitwa celery.Naona hype kubwa ya watu especially huko abroad kuhusu celery juice. Kuna mtu alishawahi kujaribu kunywa hyo juice? Wapi ulipata celery and ilikusaidia kiafya? Kwa Kiswahili wanaita FIGILI
Nahisi ni figili
Ukiingia google. Ukisearch figili inakuja celery, as in wanairefer kwa kingereza
Ningekushauri ungeanza weye kufanya upya huo utafitiSio kweli. Fanya utafiti upyaaa. Aliekwambia kakulisha tango poriii
Sio kweli. Fanya utafiti upyaaa. Aliekwambia kakulisha tango poriii