we nani?
Karibu sijafulia
nahisi ni yule jamaa yetu kule kwenye celebrity kuzaa mtoto,maana hiyo gonga yake mmh.atueleze...sio kuingia kienyejienyeji
huyu atakuwa kanumba tu
nahisi ni yule jamaa yetu kule kwenye celebrity kuzaa mtoto,maana hiyo gonga yake mmh.
Huyu atakuwa Kanumba tu
mama mbona unatutisha?heeeeeeeee ndioo wastaarabu wa jf hawa???loh mesia