Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

Wanajamvi,

Kuna msemo usemao "Beauty lies in the eyes of beholder". Leo naomba nimtambulishe huyu mdada mbongo sijui nimuite MC , sijui Bongo Movie Actress au Bongo Fleva artist anaitwa Menina Abdulkarim.

Kwa macho yangu ni mzuri sana yaani kawapita wote na hana makuu (skendo za kila leo) hakika hapa Mungu aliumba kuanzia sura, jicho, shepu, mguu hadi sauti basi sifa zimrudie Muumba.

Nawasilisha kwa Heshima

View attachment 1181312View attachment 1181313View attachment 1181314View attachment 1181315View attachment 1183775
Hamna kitu hapo, wewe utakuwa msukuma ndio unamwona huyu mzuri.
Huyu anatoa/date na Dr Cheni ambaye ndio mwalimu wake a u-Mc na ukitaka kuzipata nenda kwa Shigongo Sinza .
 
Wanajamvi,

Kuna msemo usemao "Beauty lies in the eyes of beholder". Leo naomba nimtambulishe huyu mdada mbongo sijui nimuite MC , sijui Bongo Movie Actress au Bongo Fleva artist anaitwa Menina Abdulkarim.

Kwa macho yangu ni mzuri sana yaani kawapita wote na hana makuu (skendo za kila leo) hakika hapa Mungu aliumba kuanzia sura, jicho, shepu, mguu hadi sauti basi sifa zimrudie Muumba.

Nawasilisha kwa Heshima

View attachment 1181312View attachment 1181313View attachment 1181314View attachment 1181315View attachment 1183775
lips zake hazikutii za Wema sepetu, ni mfupi, hips zake baado kabisa, huwezi pigiwa bao tatu mfulilizo, kwa mabaaria wanaelewa hii.
 
Alafu yy mwenye ndiye aliyekuwa ana shoot na kamera yake,ila tako analo na aliyekula kafaidi,tako laini.

Ninachomwonea huruma kishajiharibia kazi yake ya uMC.

Ila mademu wengi wakali hizi video wanazo kwenye simu au PC zao.

Hapa ndipo nipatapo majibu kwa nn aliachika mara mbili.
 
Back
Top Bottom