Celebrities wa Tanzania wanasaidiaje jamii kipindi hiki cha janga la Corona?

Kazi zao mnazipata kimagendo halafu mnategemea wawe na hela. Hela wanazitoa wapi ?

My life is mine to remember
Kwani kina 2face Idibia wanapata wapi fedha? Ametoa 10mili Naira,mbona Nigeria piracy ni kubwa kuliko bongo na wanaija wana mipunga tu? Wasanii wa bongo Showoff kibao insta kupanga mighorofa ya 1m per month kwa ajili ya show off tu,kukodi magari makali ya kutembelea kwa ajili ya showoff hela zao zote zinaishia kwenye showoff tu......."MAX50 na SANTAIZA 20" kwani Tsh ngapi?
 
Wewe umetoa sh ngapi kuwasaidia ndugu zako kijjini ?

My life is mine to remember
 
Hapo ni ardhi na bingu,wasanii wa bongo mbali na Mondi ,kiba ,dimpoz,AY,sugu ,Prof J kondeboy sidhani kama kuna mtu account inasoma zaidi ya mill 100
kuna mtu huko fb ameona habari ya Rostam kusaidia akaanza kumponda diamond,alidhani rostam ni kina roma na stamina

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Uwasupport vipi wakati hawajui kujibrand ni upumbavu,wasanii wanaojua kujibrand ndo wenye hela unaowaona
Hununui albums, hauangalii Bongo Movie, piracy ndio jadi yako..., unadhani hao celebrities watapata wapi pesa zaidi ya umaarufu ?, nadhani kutoa kazi zao tu na wewe kuzisikiliza ukiwa umejifungia ndani (social distance) ni mchango tosha..

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Mi kununua kazi ya msanii wa bongo siwezi,ni upuuzi tu,hela yangu ina thamani si kununua upuuzi
Kazi zao mnazipata kimagendo halafu mnategemea wawe na hela. Hela wanazitoa wapi ?

My life is mine to remember

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Mi kununua kazi ya msanii wa bongo siwezi,ni upuuzi tu,hela yangu ina thamani si kununua upuuzi

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
There you go... umejibu swali kwanini hawa wadau wapo kimya kwenye kuchangia janga (wanaweza kuchangia kwa hali sio kwa mali)
 
Hapo ni ardhi na bingu,wasanii wa bongo mbali na Mondi ,kiba ,dimpoz,AY,sugu ,Prof J kondeboy sidhani kama kuna mtu account inasoma zaidi ya mill 100

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
V Money unamuacha wapi ?

My life is mine to remember
 
Mi kununua kazi ya msanii wa bongo siwezi,ni upuuzi tu,hela yangu ina thamani si kununua upuuzi

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
You have to adjust

My life is mine to remember
 
Wote wanamuangalia mondi,maana mara nyingi ndio hutoa misaada kama vile ujenzi wa shule nk

son of almighty God.
 
Dunia kwa sasa inaangaika na janga la kirusi cha corona, tumeshuhudia mastaa wakubwa duniani wakijitoa kwa uwezo wao kusaidia serikali ama taasisi ili kupambana na janga hili.

Ronaldo, Messi pamoja na wasanii maarufu wa Marekani na sehem mbalimbali. Cha kushangaza hapa Tanzania tuna vioo vikubwa vya kimataifa kama Mbwana Samatta na mzee Chibu au Diamondi kwanini mpaka sasa wameshindwa kuonyesha kuunga mkono serikali ili kupambana na janga hili?

Barakoa 1 ni tsh 500/= kweli Samatta hana uwezo wa kununua hata barakoa 1000 kugawia wahudumu wa afya?
Diamond umaarufu wake na pesa zake zina faida gani kwa Tanzania kama sio kujitolea kusaidia kwa kipindi hiki? Kwenye show anaweza kugawa hata zaidi ya 1M naa kwanni yuko kimya mpaka sasa? Au ndio pesa za masharti mengi?

Wanapaswa kujiongeza sio mpaka waombwe,kwanza wangejiongezea umaarufu zaidi.

Diamond kana haungi mkono juhudi hizi hana faida kwa taifa ni zaidi ya kuharibu kizazi cha sasa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom