Celebrities wa Tanzania mjifunze kutoka kwa Mwanamuziki Robert Kelly

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,404
15,873
Wakuu habari zenu!

Kuna wimbo mmoja R.Kelly ameutoa unaitwa 'I Admit humo ndani anajutia aliyoyafanya na kujaribu kueleza dunia ukweli wa kile kinachoendelea juu yake.

Ningependa kuwaasa wasanii wa kibongo wale wa kiume hasa bongomovie mnajijua acheni haya mambo ya kupenda vibinti vidogo mtakuja kuumbuka siku ya siku shauri yenu. Msije sema hamkuaswa mapema.'
 
Vibinti vingine vinajipeleka so sad kwa wale mabinti wanaolazimishwa
 
Ungeelezea R. KELLY alifanya nini na akakutwa na nini hadi leo anavyojutia ingependeza.

Maana English ni tatizo kwa tulio wengi kuanzia wanyonge hadi juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom