Celebrities Forum: Uwoya hataki kurudi kwa mumewe?

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,071
185
Kuna watu wamekuwa wakibeza na kukashifu baadhi ya posts humu kwa kudhani kwamba wao wanaelewa zaidi ya wengine! Hiyo post hapo juu iliwekwa nami, as I got it from one of the media sources,...it was published in not less than three newspapers!! Kwa waliobeza, jiulizeni Celebrities Forum ni kwa ajili ya nini??
Forum: Celebrities Forum

"Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa: Rais, Mawaziri, Wabunge, Wafanyabiashara wakubwa n.k (Public Figures in general) The right place for celebrity enthusiast"

Kwa mantiki hiyo my post is in the right place, whether you like it or not!! Kama mods wanaona haifai wanaweza kuiondoa.....
 
Back
Top Bottom