Celebrities acheni tabia ya kuomba kura kwa fujo

Rise-up

Member
Oct 24, 2016
23
11
Mambo,

Hapa katikati kumeibuka tuzo nyingi tu kwa wasanii wetu wa nyumbani kwa mfano InstAwards, sasa hawa wasaniii wamekuwa wakiomba kura kila siku wamesahau kuwa kazi nzuri ndo inafanya upigiwe kura.

Hata tuzo za kimataifa wasanii wanatumia muda mwingi kuomba kula na kuacha kufanya kazi nzuri.

My take: Wasanii na watu maarufu tumieni jaribuni kufanya vitu vizuri mtapata hizo tuzo na mwache kuomba omba kama machokora wa tuzo.
 
Kwahiyo muda wa kuomba kura unawafanya waache kufanya kazi nzuri?

Sidhani huo muda ni mkubwa kiasi hiko japokuwa nakubaliana na ww kwamba kazi ndizo zitaongea. Ila kumbuka kwamba kuna wasanii wanapata tuzo si kwasbb ya kazi zao bali ushawawishi wao.
 
Kabla ya tuzo kutangazwa au kutolewa wafanye kazi nzuri waache kuomba kura wkt wakijua hawajafanya chochote.

Wabongo hata akiwekwa na DRAKE atataka ashinde hata kama hajatoa nyimbo
 
Tuzo ikishatangazwa ni jukumu lake kuhabarisha wafuasi wake kwasbb si kila mtu atakuwa ana ufahamu.

Ila kusema kwamba kuomba wapigiwe kura inawafanya wasifanye kazi, hapana.

Ila rai pia ingetolewa kwa wapiga kura kwamba watazame kazi kwani wao ndio wangefanya wanaostahili wapate.
 
Tuzo kama MTVMAMA2016 watz walihamasisha kupiga kula na watu wakapiga kweli mwisho wa siku hkn tuzo, unajua kwann?
MTVMAMA2016 hawakuangalia kura peke yake waliangalia kazi za wasanii pia.

ombi langu: wapunguze kuomba kura kama walifanya kazi nzuri watashinda tu.
 
Kwa tuzo makini ni asilimia chache tu ya wapiga kura ndiyo uhesabika huku meza kuu ikichambua na kutoa asilimia nyingi.

Ila kwa hizi tuzo zetu wanaangalia kura tu. Hapa ndio kuna shida.
 
Hapa sas tupo pamoja
 
Back
Top Bottom