Cecil Mwambe: Sihitaji mtu anichukulie fomu, nitaenda kuchukua mwenyewe ila tuwe pamoja kwenye kampeni kama mnanikubali

Mbowe kafanya jambo la kitoto na kijinga maigizo ya kuchukuliwa fomu, hiyo inaonyesha Mbowe uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo na hana tena la kuisaidia CHADEMA, Ni vizuri Mbowe akae pembeni apishe mawazo mapya
Unadhani kungelikuwa na mwenyekiti mwingine figisu na wagombea kwenye serikali za mitaa wasingeenguliwa!?
 
Hatuna ugomvi wowote na Mwambe wala hatonyimwa fomu , lakini kwa sasa ni .......

Mpaka sasa mchango wa kumchukulia Fomu Mh. Freeman Mbowe umefikia shilingi Laki_ ( 640 X 640 ).jpg
 
Hii ya mbowe kuigiza kuchangiwa pesana kuchukuliwa form nidariri za uoga nakutaka kuwafanya wengine wasigombee , mimk mwanachadema sisi huku kimara mbowe na myika hatutaki haya kuwasikia
 
Dada, nakwepa kuuharibu Uzi wako. Hebu nipotezee. Nakushauri upunguze roporopo tu!
Mbwiga huna uwoga wowote kama uliwexa kumtapeli Mwenyekiti wako akakaa mahabusu Krismasi na mwaka mpya ndio utaogopa kuharibu uzi mimi usiyenijua.

Dhambi uliyomtendea aikael ni ya kulaaniwa kabisa!
 
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema mh Cecil Mwambe amesema haitaji watu wa kumchukulia fomu kwani zoezi hilo atalifanya yeye mwenyewe kwa kuwa anajiamini.

Mwambe amesema anachoomba ni ushirikiano kutoka kwa wale wote wenye mapenzi mema na Chadema ili kwa pamoja waweze kushinda.

Source Global tv

My take; Nakubaliana na Mwambe mambo ya kuchukuliana fomu ni mbinu za kizamani zilixotumiwa na akina rip Bamchawi pale Simba SC!
Ndiyo demokrasia hiyo,hongera zake.Lakini kama fomu wangechukuwa watu aina ya Heche nisingekuwa na mashaka.Tulipofikia sasa haihitajiki tena siasa baridi.
 
Mbowe kafanya jambo la kitoto na kijinga maigizo ya kuchukuliwa fomu, hiyo inaonyesha Mbowe uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo na hana tena la kuisaidia CHADEMA, Ni vizuri Mbowe akae pembeni apishe mawazo mapya
Nguruwe wa Lumumba tumewaachia shamba la mihogo ( Serikali za mitaaa na vitongoji) endeleeni kufakamia tuacheni na mambo yetu. Na Mbowe ilikuwa asigombee lakini jinsi mnavyohangaika tumeamua kumpa mitano mingine,vimbeni hadi mpasuke. Na huyo Cecil jiwe ndiye kamharibia kabisa.
 
Ndiyo demokrasia hiyo,hongera zake.Lakini kama fomu wangechukuwa watu aina ya Heche nisingekuwa na mashaka.Tulipofikia sasa haihitajiki tena siasa baridi.
Mwambe anataka kuibadilisha Chadema kutoka kundi la wanaharakati kuwa chama cha siasa!
 
Hapo anauzungumzia Uenyekiti wa Kanda ya Kusini. Sidhani kama inawezekana kwake kugombea Uenyekiti wa Kanda na wa Taifa.

Punguza kulazimisha mada za kitoto kama hizi. Uwe unafuatilia mambo na kuyajua kabla ya kukurupuka na kuanzisha mada humu.

Uione: johnthebaptist
we jamaa unakurupuka sana, Kama umeshawahi kushinda hata kesi ya wizi wa kuku nitadharau sana mahakama
 
Mbowe kafanya jambo la kitoto na kijinga maigizo ya kuchukuliwa fomu, hiyo inaonyesha Mbowe uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo na hana tena la kuisaidia CHADEMA, Ni vizuri Mbowe akae pembeni apishe mawazo mapya
Kama ni mtu wa kaskazini kabila kubwa atamuweza Aikaeli lakini kama sio ajiweke pembeni au kawekwa na mbowe mwenyewe
 
Back
Top Bottom