engine rock
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,263
- 1,106
ww unaejua mbona upo mtaani
acha dhihaka mkuu
Hatuwezi kucheza wote.
ww unaejua mbona upo mtaani
acha dhihaka mkuu
Hatuwezi kucheza wote.
Ngapi ngapi?
Moko Moko mkuu.
Ngapi ngapi?
1-1 mzee
Kila la heri jwa Ethiopia.
Dakika ya ngapi? Tanzania inashambulia au wanajihami tu?
Matuta au zinaongwezwa 30mins?
Nani kipa? Yule dogo wa Azam ni mzuri sana kwa matuta zaidi ya Mustafa.Matuta ndugu, na ambavyo hatuna utulivu sijui hali itakuwaje!?
Game Imeishia na aliyeturoga kafa kitambo.
Kakosa
nani kakosa?????Kakosa