Chiya Chibi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 484
- 110
Kwa sasa ni half time, kilimanjaro stars 5, Somalia 0. (Ngasa 3, Boco 2). Vijana wako vizur, inaonekana magoli yataongezeka kipind cha pili. Yap yap, ni kipind cha pili dk ya 58 magoli hayo hayo, Sub; Boco nje, Edw christropher ndan, Damayo nje, Chuji ndani. Somalia walishamaliza sub toka kipind cha kwanza. UPDATES, dk ya 82 somalia 0-7 Tanzania bara, yote ngasa, ana matano kwa leo