CECAFA, 6/12/2017: Zanzibar Heroes vs Kilimanjaro Stars

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Kesho wanandugu wawili wanakutana Cefaca nani kumfunga mwenzake?Jana Zanzibar Kamlamba Rwanda 3-1 na huku Kilimanjaro Akienda Sare na Libya.

AZAM TV MUBASHARA.
 
Tusubirie 90 brathe na tukichapwa kesho Safari ya kupanda Tahmeed itakua karibu sana.
Kocha apange kosi lake vizuri
 
Hahaaa daa nakumbuka kuna game moja Iraq kipindi ile alimlamba Usa goli moja kombe la dunia watu walikesha wakishangilia.
Ila sidhani kama nasi tumefika huko.

Algeria walipoifunga Egypt walichoma maduka ya wa Misri wanaoishi Algers
 
Nn shida hawa jamaa wawili kina game yao moja ilibid ipigwe Sudan
 
Hahaaa daa nakumbuka kuna game moja Iraq kipindi ile alimlamba Usa goli moja kombe la dunia watu walikesha wakishangilia.
Ila sidhani kama nasi tumefika huko.
Iraq hajawah kutana na us wc
 
Zanzibar inaweza kushinda kwakuwa wachezaji wanataka kujiuza team kubwa,so watakaza.
Upande wa Kilimanjaro stars wengi ma staa hawaraki kujiumiza kwa kombe hilo wakakosa maslahi club.Uzalendo hawana
 
Back
Top Bottom