CDU ya Ujerumani yakanusha kuwa mfadhili wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
mkuu wewe ndo mgumu
kuelewa kabisaa. Vinavyoongelewa hapa kupata misaada ya capacity
building ni vyama vya kidemokrasia kama ilivyo kwa cdm. Tangu lini cuf
kikawa chama cha demokrasia?
Zungumzeni na al-shabaab na boko-haram ninyi wachechnia na tolabora ili
baghdad watoe hiyo misaada. Si ndio rafiki zenu?

Nachokiona mimi,mlichukuwa nchi nyinyi hata miskiti mtaigeuza makanisa kwa msaada wa CDU!
 
Mi kila siku nasema Chadema na chama cha wakristo mnatokwa povu! kama hao CDU wana ushirikiano wa kweli na vyama vingine vya siasa mbona hawashirikiani na CUF!?
CUF ni mwanachama wa Umoja wa vyama vya kidemokrasia? Hilo ndilo ulitakiwa ujiulize kwanza kabla ya kubwabwaja mambo ya dini.
 
Katika pitia pitia ya leo ya gazeti la Mwananchi, Tarehe 14 September 2012, nimekutana na habari hii ukurasa wa 8.

Habari yenyewe kwa kifupi ni kam hivi, " Chama Cha CDU kimeelezea kushangazwa na na madai ya kukifadhili CDM kwa kukipatia fedha na kwamba madai hayo si ya kweli. Akizungumza katika ufunguzi wa mkutano huo juzi, Mwakilishi wa CDU, Hedrich Klaus-Juirgen alisema ushirikiano wake na CDM si wa kukipatia fedha bali ni wa ushirikiano wa kawaida katika kukijengea uwezo. Alisema CDU imekuwa na ushirikiano na vyama vyote vya siasa vilivyoko katika umoja wa vyama vya siasa vya kidemokrasia ambao CDM ni mwanachama na ndio maana vinaushirikiano katika kukijengea uwezo na si vinginevyo. Alisema hata CCM imekuwa na ushiorikiano na vyama mbali mbali duniani na kwamba kutokana na ushirikiano huo vyama hivyo pia vimekuwa vikipata misaada kama hiyo ya kukijengea uwezo."

Source: Gazeti la Mwanachi, terehe 14 September, 2012!

Contradicting with Slaa and himself. Like the all time best seller.
 
CDU=christian democratic union. Mrengo ma kikristo ndio mrengo wa chadema?
Mana najua mrengo wa CUF ni wa liberal democratic ie mrengo wa uliberali.


Watanzania wakati mwingine tunajiabisha sana, sijui ni elimu au tatizo ni lipi hasa! Kama CDU ya 2012 inafuata mrengo wa kikristo basi CRDB bank bado ni bank ya cooperatives!
 
CDU=christian democratic union. Mrengo ma kikristo ndio mrengo wa chadema?
Mana najua mrengo wa CUF ni wa liberal democratic ie mrengo wa uliberali.

kwani cdm kimejitambulisha kufuata mrengo wa dini? Wenye propaganda za udini tena zilizowashinda ni cuf. Ninyi hamwishi kulalama tu. Fungukeni, badilikeni.
Wakati wenzenu wanawaambia sasa ni wakati wa kukijenga chama, ninyi mnamkampenia mwenyekiti wa kiimla eti mpaka aingie ikulu. Upuuzi mtupu! Chama kiko pwani tu, hamtaki kujipambanua na kuonesha namna mnavyoweza kuwa chama mbadala, mnatokwa povu dhidi ya cdm mkiungana na wa-ndani wenu ccm, tena mkiwa ndani ya wavu mbaya zaidi wa udini.
Upuuzi mtupu.
 
wapi pameandikwa kuwa kufadhiliwa ni dhambi au wapi katiba imevunjwa?

Naomba unisaidie asilimia ngapi ya bajeti ni ya wafadhili?
Pia vipi kuhusu matrekta ya kilimo kwanza mbona yanatoka japan na china?
Vipi kuhusu ujenzi wa barabara zetu unajua kwamba tunafadhiliwa?

Think big we juha.
Hizo barabara wanajengewa ccm au watanzania? Uchama umewaingia mpaka hamjui kutofautisha.
 
kwani cdm
kimejitambulisha kufuata mrengo wa dini? Wenye propaganda za udini tena
zilizowashinda ni cuf. Ninyi hamwishi kulalama tu. Fungukeni,
badilikeni.
Wakati wenzenu wanawaambia sasa ni wakati wa kukijenga chama, ninyi
mnamkampenia mwenyekiti wa kiimla eti mpaka aingie ikulu. Upuuzi mtupu!
Chama kiko pwani tu, hamtaki kujipambanua na kuonesha namna mnavyoweza
kuwa chama mbadala, mnatokwa povu dhidi ya cdm mkiungana na wa-ndani
wenu ccm, tena mkiwa ndani ya wavu mbaya zaidi wa udini.
Upuuzi mtupu.

Hii inadhihirisha wazi nyie mmetumwa na Christian Democratic kuja kuwabatiza watanzania ila mtachemka!
 
Watanzania wakati mwingine tunajiabisha sana, sijui ni elimu au tatizo ni lipi hasa! Kama CDU ya 2012 inafuata mrengo wa kikristo basi CRDB bank bado ni bank ya cooperatives!

Hapa ndipo watu wapuuzi ktk CCM wameifikisha nchi kujadili ujinga,ilimradi ktk upuuzi huo wanapata uungwaji mkono hata kama ni kuwagawa wakristo na waislamu! Wanaoambiwa maneno haya ya uwongo ni wananchi wasiokua na uelewa/elimu jambo linalochochea moto wa udini ambao tumeanza kushuhudia! Wakati mwingine najiuliza hivi ugunduzi wa gesi,mafuta na madini ndiyo chanzo cha watawala wa sasa kuchochea chuki,tupigane vita?
 
mkuu wewe ndo mgumu kuelewa kabisaa. Vinavyoongelewa hapa kupata misaada ya capacity building ni vyama vya kidemokrasia kama ilivyo kwa cdm. Tangu lini cuf kikawa chama cha demokrasia?
Zungumzeni na al-shabaab na boko-haram ninyi wachechnia na tolabora ili baghdad watoe hiyo misaada. Si ndio rafiki zenu?

Hahahaaa...kaaz kweli kweli!
 
Hii inadhihirisha wazi nyie mmetumwa na Christian Democratic kuja kuwabatiza watanzania ila mtachemka!

mara nyingi mmekuwa mkikwepa hoja za msingi kwa kukimbilia udini. Hebu simama kwenye hoja. Kama wewe hofu yako kuu ni kubatizwa, nakutoa hofu, hutabatizwa ng'o, unless uridhie mwenyewe, ndivyo maandiko yanavyosema.
Usirudie tena mawazo mgando, eenh kijana!
 
CUF ni mwanachama wa Umoja wa vyama vya kidemokrasia? Hilo ndilo ulitakiwa ujiulize kwanza kabla ya kubwabwaja mambo ya dini.

ndio, cuf ni mwanachama wa vyama vya kidemocrasia na mrengo wake ni wa liberal democratic tafauti na chadema ambao mrengo wao ni christian democratic na tafauti na ADC ambao mrengo wao ni sacial democratic.

Mirengo ya vyama vya kidemocrasia ipo mingi na hapa muhimu nikujua tu kwamba mrengo wa chadema ni wa kikristo sawa na CDU christian democratic union.

Haina haja ya kubisha na wala sio tatizo muhimu katiba iwe inaruhusu ili na sisi tusajili chama chetu cha MUSLIMs BROTHERHOOD.
 
Angalau wamethibitisha kuwa wanaifadhili chadema, hata kwa hali kama sio mali, lakini tumejuwa kuwa kanisa linaifadhili chadema, this is too bad for chadema , na inanipa zaidi uhakika kuwa ni chama cha mrengo wa magharibi kinachofungamana na kanisa, tukikichagua sie waislamu si ndio tutaisha kabisa! NEVER ....
 
Ushirikianao wa vyama ni jambo la kawaida duniani. Ni kama ccm inavyoshirikiana na frelimo, mpla na chama cha kikomunisti cha China
 
Angalau wamethibitisha kuwa wanaifadhili chadema, hata kwa hali kama sio mali, lakini tumejuwa kuwa kanisa linaifadhili chadema, this is too bad for chadema , na inanipa zaidi uhakika kuwa ni chama cha mrengo wa magharibi kinachofungamana na kanisa, tukikichagua sie waislamu si ndio tutaisha kabisa! NEVER ....

mbona CUF wanafadhiliwa na OIC hamuongei?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom