CDM,Wanaharakati, wanavyuo tuacheni CCM tujadili mgombea wetu 2015 tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CDM,Wanaharakati, wanavyuo tuacheni CCM tujadili mgombea wetu 2015 tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by the mkerewe, Feb 7, 2011.

 1. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wanachama wenzangu wa CCM
  Ni kweli mambo yanatuwia magumu kwenye ulingo wa siasa, tunaitaji kada CCM damudam wa mwaka 2015.
  Samwel Sitta+Mwakyembe sio makada asilia.HAWATUFAI KWA CHAMA.
  Mim nadhan ni LOWASSA PEKEE ANAYEWEZA KUSIMIKWA KUWA RAHISI 2015 bcs:
  1.Chama kinaitaji mchapa kazi na sio mchapa maneno (PINDA)
  2.Hamna ushaidi wa kimahakama kumuhukumu Lowassa, PINDA kwa sasa
  ameshachafuka mbele ya umma considering JK kasema hataki Dowans
  walipwe
  3.Lowassa hana rafiki wa kudumu ukimkorofisha lazima akulipue (si mnafiki)
  4. Vijana wanaipenda CDM kwa sababu CCM imeshindwa kudeliver services kitu ambacho Lowassa ni bingwa.
  My take: if LOWASSA ATAKUWA RAIS 2015 nchi itasonga na vijana wataanza tena kurudi CCM .lazima tufanye maamuzi magumu ya kumsimamisha mtu asiye na woga LOWASSA .Au ni nani mumtakaye na kwa nini?
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  :A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down: crap
   
 3. Z

  Zkaluu New Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikichunguza hoja zinavyochangiwa humu ndani na mawazo yanavyotolewa toka mwaka jana. Nkawa nawavumilia sana wenye mawazo kama haya. Sijui wanashida gani, au kichwan n tope. Mmm lakn uhuru wa kuongea
   
 4. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ni grit think hilo jibu halijitoshelezi naomba usaidie nani wa kusimama CCM 2015
  ili arudishe nguvu kazi ya CCM?
  (siasa sio uadui alisema MBOWE)
   
 5. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe kama huwezi kusema yupi akufaaye kwa CCM 2015 ndio tope mwenyewe.UNASHINDWAJE KUPENDEKEZA JINA NA SABABU AU MPAKA apate hoja kutoka kwa SLAA.
   
 6. Rwamuhuru

  Rwamuhuru Member

  #6
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ..RAHISI 2015..
  mbona unaogopa mbawa zako mwenyewe? Rais wa CCM au TZ mpk acjadliwe na wengne?
  eti LOWASA????
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  agree, lakini pia rekodi yake kwa upenzi wa shekeli inatisha, mhakikishe dili za shekeli hazikatishi mbele yake
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,746
  Trophy Points: 280
  Hao vijana wa kurudi kwenye chama mfu utawapata wapi? Au unafikri vijana waote wana akili za kushikiwa kama UVCCM? La kuvunda halina ubani , CCM imeoza haifai walioko huko wako kwa masilahi binafsi.
   
 9. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli karibu sana upatie, lakini umekosea kidogo. Katibu wetu mkuu hukumweka kwenye lisiti. Akiongea anapendeza, vijana wanamkubali, wazee wa DSM wanamkubali, Kampeni anaziweza, anachesha sana. Adumu.

  Hana skandali ya pesa na anaweza kuwakwaza wapinzania, hapo vipi?
   
 10. Rwamuhuru

  Rwamuhuru Member

  #10
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hoja ya LOWASA na kama ndie peee mliebaki nae basi ktk kpnd cha maisha yake sasa CCM kimeishiwa vibaya
   
 11. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siogopi mbawa zangu ila nimewataka wanaccm manake nikiwajumlisha nyie kwa LOWASSA ntaanza kejeli.
  mfano ningesema LOWASSA rais 2015 NINGESHAPOKEA MATUSI YA WANA CDM.

  ila tafadhali siasa sio uadui unaweza kutusaidia nani atufaaye CCM 2015
   
 12. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #12
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SASA NITAJIE MBADALA WA LOWASSA na unipe sababu sio kubaki kukataa tu wewe vipi bana ndugu hueleweki.

   
 13. Rwamuhuru

  Rwamuhuru Member

  #13
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 14. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 15. i

  ibange JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ningeshangilia sana Lowassa angeteuliwa na CCM ila Chadema tushinde kirahisi.
   
 16. FarLeftist

  FarLeftist JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Duh!
   
 17. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #17
  Feb 7, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ha ha haaa... Huyo huyo.
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sieleweki kwa vipi, Katibu mkuu ameongoza uchaguzi mkuu uliopita na tumeshinda kwa kishindo, hali ilikuwa ngumu kweli. likini alisimama kidete tukashinda. Sasa ndio mastermind wa kuleta mabadiliko makubwa ndani ya chama. Kumbuka ni Katubu huyo ndiye aliyempa taabu nyingi Dr, hadi akashindwa kampeni. Sasa wewe unasema sieleweki. huyo wa kwako alishajuizulu mambo ya siasa, ubunge unamtosha kama yule nanihii wa TLP.
   
 19. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama CCM wanataka kuangukia utosi basi wampitishe Lowasa 2015. Jamaa hatakuwa na pakutokea.
   
 20. T

  Topical JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama mwanachama wa ccm, Lowassa hawezi kupita

  Anataka uongozi uongozi haumtaki

  Sababu, ubinafsi, uchoyo above all mlafi (anakula kwa pupa)
   
Loading...