CDM wamesusia sherehe za uhuru

Facts1

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
307
28
Binafsi nimetazama ITV na TBC1 nichoona ni viongozi wa CCM na uongozi wa juu wa CUF akiwemo Maalim Seif ila sikuona kiongozi yeyote wa juu wa CDM yaani Mbowe, Arfi, Slaa, Lissu, Zitto wala Mnyika. Ndiyo tuseme walimaanisha walichosema?
 
Uhuru bado. Ukipatikana, tutasherehekea. Hata mimi sikwenda
 
Wala Tz daima halina sentensi yoyote kwenye front page kuashiria kuwa leo ni uhuru, ila zimo ndani.

Mi naona sawa tu!
 
Maalim Seif sawa si kiongozi wa serikali. Wapinzani wengine ni kina nani wameenda? Mimi nilisahau kama ni siku ya uhuru, nilipoona sijaenda kazini nilifikiri ni J'mosi. Hata TV tu sijaangalia.
 
Kwani kuna faida gani ya kuhudhuria kama sio wastage of resources? hebu uliza billion ngapi zimetumika kwa kitu cha masaa mawili, sijui vile vitoto this time vitalipwa? nimeenda library eti zimefungwa leo sikukuu, pumbafu kabisa, sie twataka kusoma tuijenge na kuikomboa nchi wao wanafunga library
 
ya tanganyika hayoo.... Tusubiri, Labda baadae Uhuru wa kweli bado saaaana... Siwezi kulala njaa halafu niwe huru... Siwezi kufanywa kilaza wakati Hekima ni uhuru...
 
wala tz daima halina sentensi yoyote kwenye front page kuashiria kuwa leo ni uhuru, ila zimo ndani.

Mi naona sawa tu!

kama gazeti la uhuru limeandika kuhusu maadhimisho hayo basi inatosha haya magazeti mengine yaandike yasiandike haisaidii chochote kwani ni baadhi ya magazeti yanamilikiwa na mabepari na mafisadi
 
Binafsi nimetazama ITV na TBC1 nichoona ni viongozi wa CCM na uongozi wa juu wa CUF akiwemo Maalim Seif ila sikuona kiongozi yeyote wa juu wa CDM yaani Mbowe, Arfi, Slaa, Lissu, Zitto wala Mnyika. Ndiyo tuseme walimaanisha walichosema?

Wa CDM walikuwa na hiyari ya kwenda au kutokwenda. Wakachagua kutokwenda. Wa CCM walilazimika kwenda. Hawakuwa na hiyari. HIyARI YASHINDA UTUMWA
 
Sasa wakasheherekee uhuru wa nchi gani?! Maana kama Tanzania, historia inasema kua nchi hiyo haijawahi kupata uhuru (kwani imezaliwa 1964, baada ya mwaka wa uhuru 1961!!). Kama Tanganyika, hiyo ni nchi ya kufikirika kwani haiexist!!! Ivyo mkubwa ebu sema ulitaka makamanda waende kusheherekea nini hapo?!?! Hao si wauza sura aisee!
 
watz tutaithamini serikali ikitimiza wajibu wake kwa ktupatia maendeleo hata nauli ya kufika uwanjani itakuwepo sasa naenda kwa bajeti hii ya kima cha chini cha mshahara cha mfanyakazi wa tz
 
Binafsi nimetazama ITV na TBC1 nichoona ni viongozi wa CCM na uongozi wa juu wa CUF akiwemo Maalim Seif ila sikuona kiongozi yeyote wa juu wa CDM yaani Mbowe, Arfi, Slaa, Lissu, Zitto wala Mnyika. Ndiyo tuseme walimaanisha walichosema?

Hawazidishi, hawapunguzi. Umewashuka, wanaona haya hao.
 
Sasa wakasheherekee uhuru wa nchi gani?! Maana kama Tanzania, historia inasema kua nchi hiyo haijawahi kupata uhuru (kwani imezaliwa 1964, baada ya mwaka wa uhuru 1961!!). Kama Tanganyika, hiyo ni nchi ya kufikirika kwani haiexist!!!
It cannot be said well than that! meaningless holiday!
 
Makamanda hata siku moja hawawezi kuhuzuria maigizo kama yale,wako majumbani mwao kutafuta jinsi ya kutupatia uhuru wa kweli....Mind you CUF ni CCM B,Maalim seif amesha kuwa compromised.....
 
Hakuna uhuru bila haki na hakuna amani bila haki. Zanzibar wanasheherekea mapinduzi zanzibar tanganyika haipo-bado tuna wakoloni weusi tukipata uhuru tutasheherekea. Uhuru wa kweli na sio wa bendera-uhuru wa katiba ya kizalendo sio ya mkoloni, makazi bora sio tembe au mbavu za umbwa zilizojaa 90% ya tanganyika kuanzia msata, chalinze, bagamoyo, sumbawanga, mpanda, bumbuli, kilosa walikozama, geita wanotumia vibatari, mtwara, lindi, songea na tanganyika nzima hivi hawa wakoloni tutawang'oa lini?????
 
Sasa wakasheherekee uhuru wa nchi gani?! Maana kama Tanzania, historia inasema kua nchi hiyo haijawahi kupata uhuru (kwani imezaliwa 1964, baada ya mwaka wa uhuru 1961!!). Kama Tanganyika, hiyo ni nchi ya kufikirika kwani haiexist!!! Ivyo mkubwa ebu sema ulitaka makamanda waende kusheherekea nini hapo?!?! Hao si wauza sura aisee!

mkuu point taken!
 
Back
Top Bottom