Binafsi nimetazama ITV na TBC1 nichoona ni viongozi wa CCM na uongozi wa juu wa CUF akiwemo Maalim Seif ila sikuona kiongozi yeyote wa juu wa CDM yaani Mbowe, Arfi, Slaa, Lissu, Zitto wala Mnyika. Ndiyo tuseme walimaanisha walichosema?
wala tz daima halina sentensi yoyote kwenye front page kuashiria kuwa leo ni uhuru, ila zimo ndani.
Mi naona sawa tu!
Binafsi nimetazama ITV na TBC1 nichoona ni viongozi wa CCM na uongozi wa juu wa CUF akiwemo Maalim Seif ila sikuona kiongozi yeyote wa juu wa CDM yaani Mbowe, Arfi, Slaa, Lissu, Zitto wala Mnyika. Ndiyo tuseme walimaanisha walichosema?
Uhuru kwetu ni KUCHAGUA VIONGOZI TUNAOWATAKA
Binafsi nimetazama ITV na TBC1 nichoona ni viongozi wa CCM na uongozi wa juu wa CUF akiwemo Maalim Seif ila sikuona kiongozi yeyote wa juu wa CDM yaani Mbowe, Arfi, Slaa, Lissu, Zitto wala Mnyika. Ndiyo tuseme walimaanisha walichosema?
huu utoto sasa!Hawazidishi, hawapunguzi. Umewashuka, wanaona haya hao.
It cannot be said well than that! meaningless holiday!Sasa wakasheherekee uhuru wa nchi gani?! Maana kama Tanzania, historia inasema kua nchi hiyo haijawahi kupata uhuru (kwani imezaliwa 1964, baada ya mwaka wa uhuru 1961!!). Kama Tanganyika, hiyo ni nchi ya kufikirika kwani haiexist!!!
Sasa wakasheherekee uhuru wa nchi gani?! Maana kama Tanzania, historia inasema kua nchi hiyo haijawahi kupata uhuru (kwani imezaliwa 1964, baada ya mwaka wa uhuru 1961!!). Kama Tanganyika, hiyo ni nchi ya kufikirika kwani haiexist!!! Ivyo mkubwa ebu sema ulitaka makamanda waende kusheherekea nini hapo?!?! Hao si wauza sura aisee!