Cdm vs ccm

kakini

Senior Member
Mar 31, 2011
197
33
Jamani wana JF yametokea mambo mengi bungeni na tumejionea katika vikao vinavyoendelea hivi sasa kati ya wabunge wa CCM na CDM.

CCM Inaongoza kwa kuwa na wabunge wengi vilaza kwa utafiti wangu asilimia 97 ya wabunge wa CCM ni vilaza wakiongozwa na mkulo pamoja anna kilango sijui kilango cha wapi.

wabunge makini wenye kujua nini maana ya bunge ni watatu magufuli, mwakyembe na sita.

Aslimia 100 ya wabunge wa CDM ni watu makini, wasomi na wenye hoja za msingi na huo ni mwanzo tu wabunge 45 kwa wabunge 200....

CCM mnaongozwa kwa wingi wenu ila kwa akili sio zero ni minus 100 yani mazuzu

Huwezi kuwalinganisha kina mnyika, zito, lema , lissu, mbowe, na hao vilaza

wana JF nadhani mnajionea wenyewe
 
Wale wazee wa kuunga hoja kwa asilimia 100?.....yaani ccm wapo kwa maslahi ya chama na si ya watz
 
Back
Top Bottom