CDM,tumwondoe zitto,tukijenge chama.

cbandiho

Member
Sep 2, 2012
67
47
Ndg wanajamii forum,great thinkers! Kwanza naunga maamuz ya kamati kuu ya chadema yaliyofikiwa kwa zito na mwenzake kitila,binafsi nmekuwa nikiangalia myenendo ya zitto tangu apate adhabu ndan ya chama na nnachokiona kwake n kuendelea kukibomoa chama huku chama kikizidi kupata misukosuko. Naomba nieleweke kwamba hakuna demokrasia isiyokuwa na utaratibu na nidhamu,zitto anajua kaz alyopewa kuitekeleza,sasa anaona media na mahala pengne anapoona sauti yake inaweza kupazwa ndipo kimbilio lake ameingia kazin rasm kuvuruga Cdm hata kama akikumbatiwa chama amekijeruh na ataendelea kukimaliza.kipimo kidogo n nidham chaf alyoionesha baada ya kuvuliwa madaraka,namna ambavyo anapambana kutafta na kurejesha umarufu wake huku moyon mwake anajua fika madudu alyofanya,anajua pia sasa cdm katiba inawabana kufunua baadh ya siri za kamat kuu.hivo bas mm kama mwanachama cdm napendekeza yafuatayo ndan ya chama. A. Zitto avuliwe uanachama na chama kikubal kupoteza hata ubunge wa kigoma lakin chama kijenge nidham na kiweke hadharan madudu yake yote ili wenye akili wayachuje,hii itaambatana na chama kukubal kujijenga na kutafta kurejesha iman kwa wanachama walioanza kupoteza iman lakin kuendelea kubak na wanachama wenye nia ya dhat ya ukomboz kwa nchi yetu. Zitto kwa sasa hatufai tena cdm na kuendelea kumkumbatia ni furaha kwa ccm na washirika wake,aondolewe,kama watanzania wataona anawafaa watamfaata atakakokwenda lakin lazima chama kiwapatie ukwel juu yake.
 
Naunga mkono hoja
 
Mimi naona kama siku 14 ni nyingi na hazifiki haraka. Ondoa Zitto haraka sana huyu amedhihilisha kuwa kirusi. Pesa imemdanganya sana. Fukuzia mbali
 
Zitto haondoki popote, alikuwepo, yupo na ataendelea kuwepo huo ujinga wenu wa kukigeuza cdm ni chama cha watu kaskazini haufai na mkome kuendelea na hiyo tabia yenu ya kijinga kwani haitowafikisha popote. Mi nawashangaa sana hawa watu wa hiki chama cha cdm hasa huyo mwenyekiti wenu Mbowe, ametumia hila na kumuundia Zitto zengwe ili asije kuichukua nafasi ya uenyekiti. Mbowe aache uoga na asitegemee kwa kutumia hizo mbinu zake chafu kuwa zitammaliza Zitto, anajidanganya tu kwani Zitto ni habari nyingine kabisa. Ni hayo tu.
 
Naunga mkono hoja zito afukuzwe uanachama,maana ccm wanamtumia na wamenunua baadhi ya vyombo vya habari kuchochea mgogoro.
 
Zitto hafai kabisa Kwan hayupo pamoja na chama ktk ukomboz wa taifa hili,, chama kitayumba lkn inalazmu kuchukua maamuz magumu...
 
Iman yangu kwa zitto ilifutika zaman,nashauri kamati kuu kumufutilia mbali ili mapambano yaanze rasimi,halafu tuone kama uongo utaushinda ukweli naiman,vuguvugu alilonalo zitto litakwisha na aibu inamfuata popote atakapokuwa
 
Back
Top Bottom