cbandiho
Member
- Sep 2, 2012
- 67
- 47
Ndg wanajamii forum,great thinkers! Kwanza naunga maamuz ya kamati kuu ya chadema yaliyofikiwa kwa zito na mwenzake kitila,binafsi nmekuwa nikiangalia myenendo ya zitto tangu apate adhabu ndan ya chama na nnachokiona kwake n kuendelea kukibomoa chama huku chama kikizidi kupata misukosuko. Naomba nieleweke kwamba hakuna demokrasia isiyokuwa na utaratibu na nidhamu,zitto anajua kaz alyopewa kuitekeleza,sasa anaona media na mahala pengne anapoona sauti yake inaweza kupazwa ndipo kimbilio lake ameingia kazin rasm kuvuruga Cdm hata kama akikumbatiwa chama amekijeruh na ataendelea kukimaliza.kipimo kidogo n nidham chaf alyoionesha baada ya kuvuliwa madaraka,namna ambavyo anapambana kutafta na kurejesha umarufu wake huku moyon mwake anajua fika madudu alyofanya,anajua pia sasa cdm katiba inawabana kufunua baadh ya siri za kamat kuu.hivo bas mm kama mwanachama cdm napendekeza yafuatayo ndan ya chama. A. Zitto avuliwe uanachama na chama kikubal kupoteza hata ubunge wa kigoma lakin chama kijenge nidham na kiweke hadharan madudu yake yote ili wenye akili wayachuje,hii itaambatana na chama kukubal kujijenga na kutafta kurejesha iman kwa wanachama walioanza kupoteza iman lakin kuendelea kubak na wanachama wenye nia ya dhat ya ukomboz kwa nchi yetu. Zitto kwa sasa hatufai tena cdm na kuendelea kumkumbatia ni furaha kwa ccm na washirika wake,aondolewe,kama watanzania wataona anawafaa watamfaata atakakokwenda lakin lazima chama kiwapatie ukwel juu yake.