CDM Maandamano Vipi?

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
CDM mlitangaza kuwa mtaandama kushinikiza baraza la mawaziri lifanyiwe mabadiliko? JK waacha chini Ngereja, Mponda, Chami, Nundu, Mkulo na Maige; Tuoeni kauli rasmi; maandamano yamekufa kifo cha mende ama?
 
Hii avatar yako mpya kidooogo, ina mvuto.
Ila sijakuelewa kidogo mheshimiwa Mafilili.
Tuseme unataka Chadema wafanye maandamano kupinga nini hasa?!
 
Hii avatar yako mpya kidooogo, ina mvuto.
Ila sijakuelewa kidogo mheshimiwa mafilili.
Tuseme enataka Chadema wafanye maandamano kupinga nini hasa?!

Walidai serikali iliyoko madarakani siyo sikivu eti!!
 
Lengo la Maandamano ni kutaka baraza la mawaziri libadilishwe, mawaziri walio na tuhuma wapigwe chini then wachukuliwe hatua za kisheri. Hatua ya kwanza imeshafanyika na sasa tunasubiri hatua ya pili ya kufanya uchunguzi na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria. Tutafanya maandamano kama hatua ya pili haitachuliwa.
 
Back
Top Bottom